REA kusambaza mitungi 13,000 Shinyanga kwa bei chee
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeitambulisha kampuni ya Lake Gas Limited ambayo imepewa jukumu la kusambaza mitungi ya gesi 13,020 itakayouzwa kwa bei ya ruzuku ya asilimia 50 katika Mkoa…
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeitambulisha kampuni ya Lake Gas Limited ambayo imepewa jukumu la kusambaza mitungi ya gesi 13,020 itakayouzwa kwa bei ya ruzuku ya asilimia 50 katika Mkoa…
Rais wa Jamhuri ya Kosovo, Dkt. Vjosa Osmani Sadriu amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo alipomtembelea Ikulu jijini…
Na Mwandishi Wetu, Geita Wananchi wa kata ya Buseresere wilayani Chato mkoani Geita wameeleza kunufaika na ujenzi wa barabara ya Maweni yenye urefu wa km 1.5 kwa kiwango cha changarawe.…
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania imesema kuanzia tarehe 15 Juni 2025 Shirika la Ndege la Flightlink litaanzísha safari za moja kwa moja kutoka Arusha kwenda Nairobi na kurudi. Taarifa…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Serikali imetoa wito kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza kwenye ujenzi wa viwanda vya kutengeneza vifaa tiba na dawa kwa ajili…
Vuguvugu la uchaguzi mkuu nchini linaendelea kupamba moto baada vyama 14 vya siasa vya upinzani kuungana na kuunda jukwaa maalumu kwa lengo la kuisisitizia Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) na…
Na Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga Kwa mwaka huu wa 2025, moja ya tukio kubwa kabisa katika kalenda ya nchi yetu ni uwepo wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, 2025.…
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi Ruth Zaipuna ameshiriki hafla ya kumkabidhi tuzo maalum Rais Samia Suluhu Hassan iliyoandaliwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bunge…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali imeweka mazingira mazuri ya uwekezaji hususan kwenye ujenzi wa viwanda vya kutengeneza vifaa tiba,…
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma ‘ Mwana Fa’ amesema kuwa maandalizi ya Kombe la Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) yanaendelea kwa kasi, huku viwanja…