Jafo kufungua maonesho ya ‘Tanzania Dental Expo’ Dar
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt.Selemani Jafo kesho anarajiwa kufungua maonesho ya huduma ya kinywa na meno ‘Tanzania Dental Expo’ yatakayofanyika Mlimani City jijini Dar…
