Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Wadau wa sanaa Magu watakiwa kujisajili BASATA

Wadau wa sanaa Magu watakiwa kujisajili BASATA

  • Post author:Gabriel
  • Post published:May 7, 2025
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani

WADAU wa sanaa katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu mkoani Mwanza wametakiwa kujisajili katika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ili watambulike kitaifa na kupata manufaa katika fursa mbalimbali zinazojitokeza…

Continue ReadingWadau wa sanaa Magu watakiwa kujisajili BASATA
Read more about the article DAR yatakiwa kujenga ghorofa kutoa huduma za afya

DAR yatakiwa kujenga ghorofa kutoa huduma za afya

  • Post author:Gabriel
  • Post published:May 7, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mkurugenzi wa Idara ya Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii katika Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Rashid Mfaume amesema kutokana na uhaba wa maeneo…

Continue ReadingDAR yatakiwa kujenga ghorofa kutoa huduma za afya
Read more about the article REA yapongezwa na Magereza uhamasishaji nishati safi

REA yapongezwa na Magereza uhamasishaji nishati safi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:May 6, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Wakala wa Nishati Vijijini (REA), umepongezwa na Jeshi la Magereza kwa kuhamasisha, kuwezesha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa taasisi zinazohudumia watu zaidi ya 100 hapa nchini. Hayo yemebainishwa…

Continue ReadingREA yapongezwa na Magereza uhamasishaji nishati safi
Read more about the article NMB yapania kuinua TEHAMA UDOM

NMB yapania kuinua TEHAMA UDOM

  • Post author:Gabriel
  • Post published:May 4, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mwandishi Wetu, Dodoma BENKI ya NMB na Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) wametiliana saini Mkataba wa makubaliano (MoU) juu ya ushirikiano katika kukuza uwezo wa kiteknolojia na Tehama kwa lengo…

Continue ReadingNMB yapania kuinua TEHAMA UDOM
Read more about the article Rais Samia aongeza mishahara ya wafanyakazi kwa asilimia 35.1

Rais Samia aongeza mishahara ya wafanyakazi kwa asilimia 35.1

  • Post author:Gabriel
  • Post published:May 1, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. Rais Dkt. Samia…

Continue ReadingRais Samia aongeza mishahara ya wafanyakazi kwa asilimia 35.1
Read more about the article NMB yadhamini, yashiriki kilele maadhimisho Mei Mosi 

NMB yadhamini, yashiriki kilele maadhimisho Mei Mosi 

  • Post author:Gabriel
  • Post published:May 1, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Singida  Benki ya NMB imedhihirisha tena nafasi yake kama Mwajiri Kinara nchini kwa kudhamini na kushiriki kikamilifu katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), yaliyofanyika…

Continue ReadingNMB yadhamini, yashiriki kilele maadhimisho Mei Mosi 
Read more about the article Mavunde aitaka Tume ya Madini kufikiri nje ya boksi

Mavunde aitaka Tume ya Madini kufikiri nje ya boksi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 30, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ametoa maelekezo matano kwa Menejimenti ya  Tume ya Madini hasa Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa kuzingatia na kusimamia  sheria katika utekelezaji wa majukumu yao na kufikiri nje…

Continue ReadingMavunde aitaka Tume ya Madini kufikiri nje ya boksi
Read more about the article Biteko: TPDC msipuuze jamii zinazozunguka mafuta, gesi Asilia 

Biteko: TPDC msipuuze jamii zinazozunguka mafuta, gesi Asilia 

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 30, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)  kuongeza kasi ya uendelezaji wa Vitalu vya utafutaji wa Mafuta na Gesi…

Continue ReadingBiteko: TPDC msipuuze jamii zinazozunguka mafuta, gesi Asilia 
Read more about the article Kirenga: Ubia wa serikali, sekta binafsi umeibeba  SAGCOT

Kirenga: Ubia wa serikali, sekta binafsi umeibeba  SAGCOT

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 30, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dodoma MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Kuendeleza Kilimo Nyanda ya Juu Kusini mwa Tanzania ( SAGCOT), Bw. Geoffrey Kirenga amesema  mafanikio yaliyopatikana katika ukanda  huo kiuwekezaji kwenye  kilimo yametokana na…

Continue ReadingKirenga: Ubia wa serikali, sekta binafsi umeibeba  SAGCOT
Read more about the article NMB yatunukiwa tuzo 5 maadhimisho usalama mahali pa kazi 2025

NMB yatunukiwa tuzo 5 maadhimisho usalama mahali pa kazi 2025

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 30, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Singida Benki ya NMB imetunukiwa tuzo tano muhimu kutoka Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA) katika Maadhimisho ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahala…

Continue ReadingNMB yatunukiwa tuzo 5 maadhimisho usalama mahali pa kazi 2025
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 74
  • 75
  • 76
  • 77
  • 78
  • 79
  • 80
  • …
  • 135
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website