Madereva Magu DC washiriki kongamano la maafisa usafirishaji wa serikali Mwanza
Maafisa usafirishaji Halmashauri ya Wilaya ya Magu wameshiriki kongamano la maafisa usafirishaji wa Serikali mkoani Mwanza uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mwanza. Kongamano…
