Katimba aagiza Hombolo kuwajengea uwezo viongozi wa mitaa, vijiji
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Zainab Katimba ametoa maelekezo kwa Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo kuwasiliana na Wakurugenzi Halmashauri zote nchini ambazo hazijatimiza maelekezo ya serikali ya kutoa mafunzo…
