Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Ummy Mwalimu: Wananchi jitokezeni mjiandikishe mchague viongozi bora

Ummy Mwalimu: Wananchi jitokezeni mjiandikishe mchague viongozi bora

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 15, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Tanga Mbunge wa Tanga Mjini, Ummy Mwalimu (CCM) ametoa rai kwa wananchi wa jimbo hilo kujitoleza kwa wingi katika zoezi la kitaifa la uboreshaji wa daftari la…

Continue ReadingUmmy Mwalimu: Wananchi jitokezeni mjiandikishe mchague viongozi bora
Read more about the article Tanzania yakanusha kuuza bandari Bagamoyo kwa Saudia Arabia

Tanzania yakanusha kuuza bandari Bagamoyo kwa Saudia Arabia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 14, 2025
  • Post category:Usafiri wa Majini

Serikali ya Tanzania imesema haijaingia makubaliano na mwekezaji yeyote kwa sasa kwa ajili ya kujenga na kuendesha Bandari ya Bagamoyo. Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango…

Continue ReadingTanzania yakanusha kuuza bandari Bagamoyo kwa Saudia Arabia
Read more about the article TCB Yaadhimisha Miaka 100 kwa Kuwekeza Katika Uvumbuzi wa Kidijitali

TCB Yaadhimisha Miaka 100 kwa Kuwekeza Katika Uvumbuzi wa Kidijitali

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 14, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake kwa kuahidi kuendelea kuwekeza katika uvumbuzi wa kidijitali na kuongeza ubora wa huduma kwa wateja wake kwa kudhamiria kuimarisha…

Continue ReadingTCB Yaadhimisha Miaka 100 kwa Kuwekeza Katika Uvumbuzi wa Kidijitali
Read more about the article Precision yajivunia Comoro kuwa kituo bora cha safari zake

Precision yajivunia Comoro kuwa kituo bora cha safari zake

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 13, 2025
  • Post category:Usafiri wa Anga

Meneja wa Precision Air nchini Comoro, Mohamed Rajab Juma ameeleza kuwa safari za Shirika hilo nchini Comoro katika mji wa Moroni, zinashika nafasi ya pili kwa faida kati ya safari…

Continue ReadingPrecision yajivunia Comoro kuwa kituo bora cha safari zake
Read more about the article Maonesho ya magari ya Isuzu Dodoma yajipambanua kutambulisha teknolojia ya usafiri wa kisasa

Maonesho ya magari ya Isuzu Dodoma yajipambanua kutambulisha teknolojia ya usafiri wa kisasa

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 13, 2025
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Kampuni ya Al Mansour Auto EA Tanzania, ambao ni wauzaji na wasambazaji wa magari aina ya ISUZU nchini imezindua maonesho ya siku ya tatu ya magari…

Continue ReadingMaonesho ya magari ya Isuzu Dodoma yajipambanua kutambulisha teknolojia ya usafiri wa kisasa
Read more about the article Majaliwa aitaka TARURA kuwasimamia wakandarasi binafsi

Majaliwa aitaka TARURA kuwasimamia wakandarasi binafsi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 13, 2025
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameigazia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ihakikishe inatoa kandarasi za ujenzi na ukarabati wa barabara kwa wakandarasi wenye uwezo wa kujenga kwa viwango…

Continue ReadingMajaliwa aitaka TARURA kuwasimamia wakandarasi binafsi
Read more about the article Kongo yaitaka Rwanda kulipa fidia ya vita

Kongo yaitaka Rwanda kulipa fidia ya vita

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 13, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu, imeanza kusikiliza shauri lililowasilishwa mahakamni hapo na Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo dhidi ya Rwanda, kuhusu mgogoro wa kivita wa muda mrefu mashariki…

Continue ReadingKongo yaitaka Rwanda kulipa fidia ya vita
Read more about the article TMA yataja sababu 2 ongezeko la joto

TMA yataja sababu 2 ongezeko la joto

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 13, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeeleza kuwa kumekuwa na ongezeko la joto katika baadhi ya maeneo nchini hususan yapatayo misimu miwili ya mvua kwa mwaka kwa miezi ya…

Continue ReadingTMA yataja sababu 2 ongezeko la joto
Read more about the article RIG za STAMICO zawawezesha wachimbaji kupata taarifa za kina

RIG za STAMICO zawawezesha wachimbaji kupata taarifa za kina

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 13, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Dhamira ya Serikali ya kuwasaidia wachimbaji wadogo wa madini nchini kwa kuwawezesha kupata taarifa sahihi za miamba kupitia Mitambo ya Uchorongaji (drilling rigs) ili wachimbe kwa tija imetimia baada ya…

Continue ReadingRIG za STAMICO zawawezesha wachimbaji kupata taarifa za kina
Read more about the article Taasisi 551 zaachana na mkaa, kuni

Taasisi 551 zaachana na mkaa, kuni

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 13, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Jumla ya taasisi 551 zimeanza matumizi ya nishati safi ya kupikia na kuachana na matumizi ya kuni na mkaa ikiwa ni katika jitihada za kuunga mkono Serikali kupunguza ukataji miti…

Continue ReadingTaasisi 551 zaachana na mkaa, kuni
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 95
  • 96
  • 97
  • 98
  • 99
  • 100
  • 101
  • …
  • 135
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website