Dakawa kutangazwa kwenye urithi wa Taifa
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema kuwa eneo la kihistoria la Dakawa lililopo wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro lipo kwenye hatua ya kutangazwa kwenye gazeti…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema kuwa eneo la kihistoria la Dakawa lililopo wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro lipo kwenye hatua ya kutangazwa kwenye gazeti…
Kufuatia maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaka waliovamia na kujenga kwenye eneo linalomilikiwa na shirika la maendeleo Dar es Salaam (DDC) lililopo Mabwepande kuuziwa viwanja kwa gharama nafuu Mkuu…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia miundombinu, Mhandisi Rogatus Mativila amemuagiza Mkandarasi M/s China Geo-Engineering Corporation kuhakikisha…
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema mfumo wa anwani za makazi utasaidia kuchochea ukuaji wa uchumi, kuharakisha upatikanaji wa huduma za kijamii, kuimarisha masuala ya ulinzi na usalama, kuwezesha biashara mtandao…
Rais Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuwa Tanzania itaendelea kutoa ushirikiano katika…
Na Mwandishi Wetu, Geita Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amewapongeza wananchi wa Wilaya ya Bukombe hususan Kata ya Bulangwa kwa kuwa…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amempokea Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame ambaye amewasili nchini kushiriki Mkutano wa…
Shughuli za upandaji wa miti zinaendelea TFS - Shamba la Miti Sao Hill kwa wahifadhi kuendelea kusimamia zoezi la upandaji wa miti ambalo linafanyika katika kipindi hiki cha masika. Hayo…
Serikali kupitia Wizara ya Afya, imesema dawa za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARVs) haziuzwi na kwamba zipo za kutosha. Imeongeza kuwa watumiaji wa dawa hizi, hawana sababu ya…
Na: Dk. Reubeni Lumbagala Mlo kamili, kupumzika na kufanya mazoezi ni miongoni mwa mambo muhimu sana katika ujenzi wa afya ya binadamu. Kutokana na umuhimu wa masuala haya, wataalam wa…