Watumishi ubalozi wa Tz – Comoro watembelea bandari ya Moroni
Watumishi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro wametembelea Bandari ya Moroni kujione shughuli zinazofanywa hapo hususan katika kushughulikia shehena za mizigo kutoka Tanzania. Wakiongozwa na Balozi wa Tanzania nchini humo,…
