NMB yaibuka mlipa kodi mkubwa zaidi tuzo za TRA
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katika kuendelea kuwa mshirika mkubwa wa maendeleo nchini, Benki ya NMB imetunukiwa tuzo tatu na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ikiwa ni sehemu ya…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Katika kuendelea kuwa mshirika mkubwa wa maendeleo nchini, Benki ya NMB imetunukiwa tuzo tatu na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ikiwa ni sehemu ya…
Rais Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa amefanya uteuzi, uhamisho na mabadiliko ya viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka miongoni mwa walioteuliwa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemtaka Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Yusuph Mwenda kusimamia usawa katika kulipa kodi. Rais Dkt. Samia…
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2024, ambapo watahiniwa 477,262 kati ya wanafunzi 516,695 wenye matokeo wamefaulu kwa kupata madaraja ya I,…
KAMATI ya Ushauri ya Wilaya ya Magu (DCC) imepitia na kujadili mapendekezo ya rasimu ya mpango na bajeti ya halmashauri kwa mwaka 2025/2026 ambayo imependekeza kuidhinishwa jumla ya Sh. 64.2…
MKUU wa Wilaya ya Magu, Joshua Nassari ametoa muda wa siku nne kwa watendaji wa kata na waratibu wa elimu kata kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza, wanaripoti…
Serikali kupitia Wizara ya Fedha, imebainisha kuwa itaendelea na utoaji wa elimu ya fedha na kuhamasisha utumiaji wa huduma za fedha vijijini ili kuwawezesha wananchi katika maeneo ya vijijini kuwa…
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa maji Mpiji Magoe katika kata ya Mbezi Wilayani Ubungo wenye lengo la kutatua…
SIKU moja baada ya Tundu Lissu kushinda nafasi ya Uenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakili huyo amedaiwa kushindwa kulipa gharama za Ukumbi wa Mlimani City walipokuwa wakifanya…
Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Czech wameahidi kushirikiana na Serikali kuchangamkia fursa zinazopatikana katika nchi hiyo kwa manufaa ya nchi na wananchi. Ahadi hiyo wameitoa Januari 18, 2025 walipofanya kikao na…