Mbarawa: SGR imeingiza bilioni 15.69
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema tangu kuanza kwa safari ya treni ya kisasa inayotumia umeme (SGR) katika mikoanya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma, tayari imekusanya kiasi cha…
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amesema tangu kuanza kwa safari ya treni ya kisasa inayotumia umeme (SGR) katika mikoanya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma, tayari imekusanya kiasi cha…
WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka mkandarasi wa Kampuni ya China Railways seventh Group Limited (CRSG ) kuhakikisha anaijenga barabara ya Nyamwage -Utete yenye urefu wa Km 33.7 kulingana na…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KAMPUNI ya kutengeneza magari ya Volkswagen ya Ujerumani imeonesha nia ya kuitumia Bandari ya Dar es Salaam kusafirisha magari na vipuri baada ya kuitembelea…
Mwandishi Wetu, Dodoma BENKI ya NMB imetoa mamilioni ya fedha na vifaa ikiwemo zana za kilimo, friji na TV huku ikisubiri mshindi atakayeibuka na Sh100 milioni. Zawadi hizo zimetolewa kwa…
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amekagua mradi wa ujenzi wa barabara ya Bagamoyo ya mwendokasi inayounganisha maeneo ya Tegeta, Mwenge, Ubungo na Mbezi na kuwataka wakandarasi…
Na Mwandishi Wetu, Mbeya Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameipongeza Benki ya NBC kwa jitihada na mkakati wake wa kutoa elimu kuhusu matumizi ya huduma rasmi…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam BENKI ya NMB na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wamesaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano, unaolenga kukuza vipaji, ubunifu, uwekezaji katika mageuzi…
Mabasi ya abiria, magari madogo, bajaji na pikipiki yameanza kupita katika baadhi ya maeneo ya barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT II) inayoanzia Kariakoo hadi Mbagala mara baada ya Waziri…
MATUNDA ya Uwekezaji wa Sh. 429 bilioni uliofanywa na Serikali katika Bandari ya Tanga umeanza kulipa kutokana na ongezeko kubwa la idadi ya meli zinazopitisha shehena kutoka meli 197 kwa…
Katika jitihada za kupunguza migogoro isiyo na ulazima katika jamii, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini ameupongeza Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa kutoa mafunzo ya…