Bruce Melodie adondosha “Niki Minaji” X Blaq Diamond
NA JOSEPH SHALUWA MSANII wa muziki kutoka nchini Rwanda, Bruce Melodie, ameachia singo yake mpya iitwayo “Niki Minaji” akiwa amemshirikisha msanii wa Afrika Kusini, Blaq Diamond. Ni kibao chenye mikong'osio…
