Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali Biharamulo iliyoua 11 na kujeruhi 16
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amefika eneo ilipotokea ajali ya basi la abiria lenye namba za usajili T857 DHW, katika eneo la Kabukome katika Kata ya…
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Mkoa wa Mwanza (Mwanza Girls’) na kuweka jiwe la msingi la msingi la shule hiyo iliyopo katika…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Desemba 21, 2024 amewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa tenki la kuhifadhi maji la Bujora –…
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga amesema kuimarika kwa mfumo wa Gridi za Umeme za Tanzania na Kenya kutasaidia kuimarisha upatikanaji wa umeme katika…
NA MWANDISHI WETU MSIMU wa Nne wa Kampeni ya Weka Akiba na Ushinde ulioendeshwa na Benki ya NMB ‘NMB Bonge la Mpango – Mchongo Nd’o Huu,’ umefikia tamati Alhamisi ya…
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema utekelezaji wa Mradi wa Kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) kwa ujumla umefikia asilimia 99.55 huku shughuli za uzalishaji wa umeme zikiwa…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa kwa maandalizi mazuri ya Kongamano la Uwekezaji mkoani humo litakaloibua fursa…
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amesisitiza kuanza kwa wakati kwa Mradi wa Uchimbaji Madini ya graphite (kinywe) na kwa mujibu wa Matakwa ya Sheria ya Madini alipokutana na…
Na Mwandishi Wetu, Saudi Arabia Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Kongamano la Wafanyabiashara na Wawekezaji nchini Saudi Arabia litaongeza uwekezaji kwenye Sekta ya Nishati kutokana na Tanzania kuzinadi fursa…
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brands Limited, David Mulokozi amenunua ndege binafsi aina ya Helkopta ambayo ameitumia kutua kwa mara ya kwanza katika Uwanja wa Tanzanite Kwaraa Stadium uliopo…