NCAA yajinoa kushiriki michuano ya SHIMMUTA 2024 Tanga
Na Mwandishi Wetu, Tanga Timu ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imewasili mkoani Tanga kushiriki kikamilifu katika Mashindano ya Mashirika ya Umma, Makampuni na Taasisi Binafsi (SHIMMUTA) yanayoanza leo…
