Vibonde Kenya wabondwa tena AFCON
HARAMBEE Stars ya Kenya imedondosha alama zote tatu kwenye mechi yake ya tatu ya kufuzu kushiriki Kombe la Afrika (AFCON) mwaka 2025 baada ya kuzidiwa maarifa na wenyeji Cameroon 4-1…
HARAMBEE Stars ya Kenya imedondosha alama zote tatu kwenye mechi yake ya tatu ya kufuzu kushiriki Kombe la Afrika (AFCON) mwaka 2025 baada ya kuzidiwa maarifa na wenyeji Cameroon 4-1…
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu), William Lukuvi ameeleza kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa usambazaji maji Dar es Salaam ya kusini maarufu…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Ujenzi wa Bandari ya kwanza ya uvuvi nchini Tanzania, Kilwa Masoko, iliyoko kwenye pwani ya Bahari ya Hindi katika mkoa wa Lindi, uko karibu…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WADAU mbalimbali na watumiaji wa huduma za bandari wameridhishwa na ubora wa huduma sambamba na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini…
Mkuu wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania, Happiness Shuma (kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara kutoka Shirika la Reli Tanzania (TRC) Never…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini, Victoria Kwakwa leo Alhamisi amesafiri kwa njia ya treni ya…
Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ruzuku ya asilimia 50 ya bei kwa mitungi ya gesi inayosambazwa nchini na Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Hayo yamebainishwa leo Oktoba…
Na Mwandishi Wetu, Tabora Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ujenzi, Dkt. Charles Msonde ameutaka Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), kuweka utaratibu wa kuwajengea uwezo watumishi wake ikiwemo kuwapatia mafunzo ya…
Na Mwandishi Wetu, Njombe Vikundi vya Kijamii vinavyofanya kazi za ujenzi na matengenezo madogo madogo ya miundombinu ya barabara wilayani Ludewa wameishukuru Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)…
Rubani wa shirika la ndege la Turkish Airlines amefariki dunia baada ya kuugua ghafla akiwa kwenye ndege kutoka Seattle kwenye pwani ya kaskazini magharibi mwa Marekani kuelekea Istanbul nchini Uturuki.…