TFS Magu yagawa miti 13,059 kwa wanafunzi Magu, Sukuma
HALMASHAURI ya Wilaya Magu kupitia Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) umegawa miche ya miti 13,059 kwa shule za sekondari Sukuma na msingi Magu kwa lengo kuendelea kuhamasisha upandaji miti…
HALMASHAURI ya Wilaya Magu kupitia Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) umegawa miche ya miti 13,059 kwa shule za sekondari Sukuma na msingi Magu kwa lengo kuendelea kuhamasisha upandaji miti…
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amesema amejipanga kuhakikisha sekta ya habari inaimarika kwa kufanya marekebisho ya sera na sheria ili kuendana na mahitaji ya kisasa.…
Na Mwandishi Wetu, Manyara Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Manyara ina mpango wa kufungua barabara mpya zenye urefu Km. 109 katika Wilaya ya Mbulu, Simanjiro…
Kikundi kazi cha Baraza la Biashara nchini (TNBC) kwa ajili ya kuangalia fursa za kiuchumi zitakazopatikana kupitia Uchumi wa Buluu kimezinduliwa jijini Dar es Salaam, huku wajumbe wa kikundi hicho…
KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeeleza kuridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk. Pindi Chana amefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na ujumbe kutoka Idara ya Uvuvi na Wanyamapori ya Serikali ya…
Na Mwandishi Wetu, Lindi Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor Seff amewaagiza Mameneja wa TARURA wa Wilaya kote nchini kukagua na kusafisha madaraja…
Ili kufikia malengo tarajiwa katika matumizi ya nishati safi ya kupikia, Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango amesema ni muhimu uvumbuzi na ubunifu wa vijana ukazingatiwa. Kauli hiyo ya Dk…
Mamlaka ya kitaifa ya kusimamia safari za ndege nchini Marekani jana Jumanne imetangaza kuwa itapiga marufuku safari za ndege za Marekani kuelekea Haiti kwa siku 30 baada ya ndege ya…
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kutangaza uzinduzi wa bidhaa ya LIPA POPOTE, suluhisho la malipo lililobuniwa ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs) na wamiliki wa…