Habari za Hivi Punde

Serikali bega kwa bega na Simba SC. Afrika Kusini mpaka fainali CAF
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema kuwa, Serikali imeendelea kuwapa ushirikiano klabu ya Simba ili

NMB Yadhamini Bonanza la Wiki ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi
Na Mwandishi Wetu, Singida Katika kuadhimisha Wiki ya Maonesho ya Kitaifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi, Benki ya

Balozi Nchimbi apiga marufuku wimbo huu dhidi ya wapinzani
Mwandishi Wetu, Mara KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi amepiga marufuku wimbo unaobeza na kuchochea
Share this Post
Habari Mchanganyiko

Miaka 4 ya Samia, Arumeru yapokea bilioni 100.6
Na Mwandishi Wetu, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema wananchi wa wilayani Arumeru,

Wizara ya Sheria yaishukuru NMB kukijengea uwezo Kituo cha Huduma cha Wizara
NA MWANDISHI WETU WIZARA ya Katiba na Sheria (MoCLA), imeishukuru Benki ya NMB kwa kukubali kuendesha mafunzo ya kukijengea uwezo

Makusanyo ya mapato Magu yapaa, shule 24 mpya zafunguliwa
Mwenyekiti wa Halmaahauri ya Wilaya ya Magu, Simon Mpandalume amesema katika kipindi cha miaka mitano Halmashauri hiyo imeongeza makusanyo ya
Share this Post
Usafiri wa Anga

Bukoba wamuangukia Biteko ujenzi wa uwanja wa ndege
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa kwa

Bilionea Mulokozi anunua helkopta binafsi
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brands Limited, David Mulokozi amenunua ndege binafsi aina ya Helkopta ambayo ameitumia kutua kwa

Marekani yasitisha safari za ndege za Haiti kufuatia shambulizi
Mamlaka ya kitaifa ya kusimamia safari za ndege nchini Marekani jana Jumanne imetangaza kuwa itapiga marufuku safari za ndege za
Share this Post
Usafiri wa Majini

Tanzania yakanusha kuuza bandari Bagamoyo kwa Saudia Arabia
Serikali ya Tanzania imesema haijaingia makubaliano na mwekezaji yeyote kwa sasa kwa ajili ya kujenga na kuendesha Bandari ya Bagamoyo.

NEMC yaipongeza EACOP kwa kuhifadhi ikolojia ya Mto Sigi
Na Mwandishi Wetu, Tanga Bodi ya Wakurugenzi ya Baraza la Usimamizi la Mazingira la Taifa (NEMC) imeupongeza uongozi wa kampuni

Waziri Ulega akagua vivuko vipya Kigamboni Dar
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekagua vivuko viwili kati ya sita (6) vilivyowasili katika eneo la Magogoni kwa ajili ya kutoa
Share this Post
Usafiri wa Nchi Kavu

Madereva Magu DC washiriki kongamano la maafisa usafirishaji wa serikali Mwanza
Maafisa usafirishaji Halmashauri ya Wilaya ya Magu wameshiriki kongamano la maafisa usafirishaji wa Serikali mkoani Mwanza uliofanyika katika ukumbi wa

Maonyesho ya ISUZU yahitimishwa kwa mafanikio wabunge, wadau wa usafirishaji watia neno
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Maonyesho ya siku tatu yaliyoandaliwa na kampuni ya Al Mansour Auto EA Tanzania, kuangazia teknolojia za

Maonesho ya magari ya Isuzu Dodoma yajipambanua kutambulisha teknolojia ya usafiri wa kisasa
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Kampuni ya Al Mansour Auto EA Tanzania, ambao ni wauzaji na wasambazaji wa magari aina ya
Share this Post
Habari za Michezo na Burudani

Shakira asitisha shoo kisa maumivu ya tumbo
Nyota wa muziki, raia wa Colombia Shakira jana Jumapili amelazimika kusitisha show yake huko Lima, Peru, na baadaye kupelekwa hospitalini

Bilioni 352 kujenga uwanja wa Dodoma
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema kuwa uwanja wa Michezo unaotarajiwa kujengwa jijini Dodoma utagharimu

Tushiriki HELSB Marathon, tuboreshe afya, elimu na huduma
Na: Dk. Reubeni Lumbagala Mlo kamili, kupumzika na kufanya mazoezi ni miongoni mwa mambo muhimu sana katika ujenzi wa afya