BOT yakana kuchapisha fedha za uchaguzi mkuu
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha uvumi wa taarifa zinazozunguka kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa imechapisha na kusambaza fedha kwa ajili ya kugharamia uchaguzi mkuu. Katika taarifa kwa umma…