Kituo kinachojaza gesi magari 1200 kwa siku chazinduliwa Dar
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amezindua Kituo Mama cha Gesi Asilia iliyoshindiliwa (CNG) ambacho kina uwezo wa kujaza Gesi Asilia kwenye magari…