Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Kumenoga kitita cha kwanza cha bima ya afya kwa wote kikianza

Kumenoga kitita cha kwanza cha bima ya afya kwa wote kikianza

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 25, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi wasio na uwezo nchini sio changamoto tena, baada ya kuanza rasmi kwa kitita cha huduma muhimu chini ya mpango wa bima ya afya…

Continue ReadingKumenoga kitita cha kwanza cha bima ya afya kwa wote kikianza
Read more about the article DC Lawuo azindua bima ya afya kwa wote Magu

DC Lawuo azindua bima ya afya kwa wote Magu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 25, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mkuu wa Wilaya ya Magu, Jubilate Lawuo amezindua rasmi uhakiki, usajili na utoaji wa kadi za bima ya afya kwa wote wilayani humo ambapo katika awamu ya kwanza zaidi ya…

Continue ReadingDC Lawuo azindua bima ya afya kwa wote Magu
Read more about the article Milioni 84 za mfuko wa jimbo Magu zagaiwa kwenye miradi ya afya, elimu

Milioni 84 za mfuko wa jimbo Magu zagaiwa kwenye miradi ya afya, elimu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 25, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

JUMLA ya Sh milioni 84 zinatarajiwa kutekeleza miradi ya ujenzi wa zahanati mbili, shule ya msingi na sekondari wilayani Magu, ikiwa ni mwendelezo jitihada serikali kuimarisha sekta ya elimu na…

Continue ReadingMilioni 84 za mfuko wa jimbo Magu zagaiwa kwenye miradi ya afya, elimu
Read more about the article Dkt. Samia: Tumeweka heshima, ujenzi makao makuu Ngome

Dkt. Samia: Tumeweka heshima, ujenzi makao makuu Ngome

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 24, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema makao makuu ya ulinzi ni alama ya ukomavu wa kielelezo cha uwezo wa Taifa katika kupanga na kutekeleza miradi mikubwa kwa kutumia…

Continue ReadingDkt. Samia: Tumeweka heshima, ujenzi makao makuu Ngome
Read more about the article Dkt Samia: Tuepuke vitendo vinavyovunja heshima ya jeshi

Dkt Samia: Tuepuke vitendo vinavyovunja heshima ya jeshi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 24, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, amewataka maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kuishi kwa misingi ya viapo vyao, akiwasisitiza kuepuka vitendo vinavyovunja heshima…

Continue ReadingDkt Samia: Tuepuke vitendo vinavyovunja heshima ya jeshi
Read more about the article Dkt Samia: Ukuaji uchumi Tanzania matokeo ya usalama, amani

Dkt Samia: Ukuaji uchumi Tanzania matokeo ya usalama, amani

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 24, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema hatua ya kukua kwa uchumi wa Taifa na maendeleo yanayoshuhudiwa ni matokeo ya kuimarika kwa hali ya ulinzi na usalama nchini na kwamba hata…

Continue ReadingDkt Samia: Ukuaji uchumi Tanzania matokeo ya usalama, amani
Read more about the article Vijana 100 wahitimu mafunzo maalumu ya sekta ya fedha kwa ufadhili wa NMB

Vijana 100 wahitimu mafunzo maalumu ya sekta ya fedha kwa ufadhili wa NMB

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 24, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Benki ya NMB imeendeleza jitihada zake za kujenga nguvu kazi yenye ujuzi na maarifa ya kisasa katika sekta ya fedha nchini kwa kusaidia mafunzo ya kitaaluma na kitalaamu kwa vijana…

Continue ReadingVijana 100 wahitimu mafunzo maalumu ya sekta ya fedha kwa ufadhili wa NMB
Read more about the article DC Lawuo akagua miradi ya elimu Magu, atoa maagizo

DC Lawuo akagua miradi ya elimu Magu, atoa maagizo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 24, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

MKUU wa Wilaya ya Magu, Jubilate Lawuo amekagua miradi ya ujenzi inayohusiana na sekta ya elimu ya msingi katika wilaya hiyo na kutoa maagizo ya kukamilisha miradi hiyo haraka. Aidha,…

Continue ReadingDC Lawuo akagua miradi ya elimu Magu, atoa maagizo
Read more about the article Uchumi wa Tanzania bado imara

Uchumi wa Tanzania bado imara

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 21, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Ripoti ya Taasisi ya kimataifa ya tathmini ya kiuchumi, Moody's Ratings, imesema Tanzania ni Taifa lenye uchumi unaokua kwa kasi na unaoaminika katika masoko ya fedha ya dunia, kunakoiwezesha kuvutia…

Continue ReadingUchumi wa Tanzania bado imara
Read more about the article NMB yakabidhi misaada ya Mil. 21.6/- Shule za Msingi, Sekondari Malinyi 
Screenshot

NMB yakabidhi misaada ya Mil. 21.6/- Shule za Msingi, Sekondari Malinyi 

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 20, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Kupitia Programu ya Uwekezaji kwa Jamii, Benki ya NMB imekabidhi misaada ya madawati 100, viti 100 na meza 100 kwa shule mbili za msingi na moja ya sekondari wilayani Malinyi,…

Continue ReadingNMB yakabidhi misaada ya Mil. 21.6/- Shule za Msingi, Sekondari Malinyi 
  • Go to the previous page
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • …
  • 111
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu