Wanufaika 588 wa ‘NBC Wajibika Scholarship’ waanza mafunzo ya ufundi stadi VETA
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Jumla ya vijana 588 wanaonufaika na mpango wa ufadhili wa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana wa ‘NBC Wajibika Scholarship’ wameanza rasmi mafunzo yao katika vyuo…
