Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article Rais Samia: Tutatumia sekta ya kilimo kama msingi wa kukuza biashara

Rais Samia: Tutatumia sekta ya kilimo kama msingi wa kukuza biashara

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 10, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais wa Samia Suluhu Hassan amesema sekta ya kilimo inatarajiwa kuwa nguzo muhimu katika kukuza biashara na ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Urusi kwa miaka ijayo. Akizungumza katika…

Continue ReadingRais Samia: Tutatumia sekta ya kilimo kama msingi wa kukuza biashara
Read more about the article Dkt Samia: Tunashirikiana na Urusi kujenga ujuzi wa sayansi, teknolojia nchini

Dkt Samia: Tunashirikiana na Urusi kujenga ujuzi wa sayansi, teknolojia nchini

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 10, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais wa Samia Suluhu Hassan, ameeleza kuwa ushirikiano wa kimkakati kati ya Tanzania na Urusi unaelekezwa katika vipaumbele muhimu vya maendeleo ya Taifa vinavyoendana na Dira ya muda mrefu ya…

Continue ReadingDkt Samia: Tunashirikiana na Urusi kujenga ujuzi wa sayansi, teknolojia nchini
Read more about the article Dkt Samia: Tunataka uhusiano wetu na Urusi uwe ushirikiano wa kiuchumi

Dkt Samia: Tunataka uhusiano wetu na Urusi uwe ushirikiano wa kiuchumi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 10, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais wa Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania inalenga kuinua na kuimarisha uhusiano wake wa muda mrefu na Urusi kwa kuupa mwelekeo mpya utakaojikita katika maendeleo ya uchumi zaidi. Akizungumza katika…

Continue ReadingDkt Samia: Tunataka uhusiano wetu na Urusi uwe ushirikiano wa kiuchumi
Read more about the article Rais Samia: Adui wa rafiki yetu si adui wa Tanzania

Rais Samia: Adui wa rafiki yetu si adui wa Tanzania

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 10, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania inaendelea kufuata sera ya kutofungamana na upande wowote, akisisitiza Taifa hilo litaendelea kushirikiana na washirika mbalimbali duniani licha ya mabadiliko ya mazingira ya uchumi…

Continue ReadingRais Samia: Adui wa rafiki yetu si adui wa Tanzania
Read more about the article DAWASA, Madiwani waja na suluhisho changamoto ya maji Ubungo

DAWASA, Madiwani waja na suluhisho changamoto ya maji Ubungo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 10, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu,  Dar es Salaam Madiwani wa Manispaa ya Ubungo wamekubaliana kwa kauli moja na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), wamekubaliana kutafuta suluhu ya…

Continue ReadingDAWASA, Madiwani waja na suluhisho changamoto ya maji Ubungo
Read more about the article Rais wa Singapore akoshwa na fursa za uwekezaji TZ

Rais wa Singapore akoshwa na fursa za uwekezaji TZ

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 9, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais wa Singapore, Tharman Shanmugaratnam, amesema ushirikiano kati ya Tanzania na Singapore unapaswa kupewa sura mpya inayolingana na mahitaji ya dunia ya sasa, akieleza kuwa lengo la ushirikiano huo ni…

Continue ReadingRais wa Singapore akoshwa na fursa za uwekezaji TZ
Read more about the article ‘Ushirikiano wa kisiasa wa Tanzania, Singapore ugeuzwe kuwa fursa za biashara’

‘Ushirikiano wa kisiasa wa Tanzania, Singapore ugeuzwe kuwa fursa za biashara’

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 9, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Shirikisho la Biashara la Singapore (SBF) limezitaka sekta binafsi za Tanzania na Singapore kutumia ushirikiano wa kisiasa uliopo kuibua fursa za biashara na uwekezaji katika Soko la Tanzania na Jumuiya…

Continue Reading‘Ushirikiano wa kisiasa wa Tanzania, Singapore ugeuzwe kuwa fursa za biashara’
Read more about the article Rais Samia aahidi mazingira rafiki kwa wawekezaji Tanzania

Rais Samia aahidi mazingira rafiki kwa wawekezaji Tanzania

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 9, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itaendelea kutekeleza mageuzi yanayolenga kuhakikisha kunakuwepo utulivu na uhakika utakaovutia uwekezaji nchini. Kwa mujibu wa Dkt Samia, kupitia Mamalaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu…

Continue ReadingRais Samia aahidi mazingira rafiki kwa wawekezaji Tanzania
Read more about the article TPSF: Uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi chini ya uongozi wa Rais Samia

TPSF: Uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi chini ya uongozi wa Rais Samia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 9, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), imesema uchumi wa Tanzania unaendelea kukua kwa kasi, ukichochewa na maboresho ya sera, mageuzi mbalimbali na kuimarika kwa mazingira ya uwekezaji chini ya uongozi…

Continue ReadingTPSF: Uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi chini ya uongozi wa Rais Samia
Read more about the article Miaka 45 ya ushirikiano kati ya Tanzania na Singapore

Miaka 45 ya ushirikiano kati ya Tanzania na Singapore

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 9, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Tanzania na Singapore ni marafiki wa muda mrefu na mwaka huu wanasherehekea miaka 45 ya uhusiano wa kidiplomasia. Uhusiano huu si wa kihistoria pekee, bali pia umejikita katika ushirikiano wa…

Continue ReadingMiaka 45 ya ushirikiano kati ya Tanzania na Singapore
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • …
  • 144
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website