Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Read more about the article DAWASA yaanika mikakati kuimarisha huduma ya maji
Screenshot

DAWASA yaanika mikakati kuimarisha huduma ya maji

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 22, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya kimkakati ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama katika Jiji…

Continue ReadingDAWASA yaanika mikakati kuimarisha huduma ya maji
Read more about the article Rais Namibia aguswa na uongozi wa Rais Samia

Rais Namibia aguswa na uongozi wa Rais Samia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 20, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, amesema anathamini kwa kiwango kikubwa uongozi wa Rais wa Samia Suluhu Hassan, akisema umekuwa chanzo cha hamasa na msukumo katika safari yake ya uongozi. Ameeleza…

Continue ReadingRais Namibia aguswa na uongozi wa Rais Samia
Read more about the article Dkt Samia: Tanzania, Namibia zitakuza ushirikiano wa kiuchumi

Dkt Samia: Tanzania, Namibia zitakuza ushirikiano wa kiuchumi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 20, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Rais Samia Suluhu Hassan, amesema licha ya uhusiano mzuri wa kihistoria kati ya Tanzania na Namibia, bado kuna safari ya kuhakikisha hatua hiyo inaendana na kiwango cha maendeleo ya kiuchumi…

Continue ReadingDkt Samia: Tanzania, Namibia zitakuza ushirikiano wa kiuchumi
Read more about the article Rais wa Namibia apokelewa Ikulu Dar

Rais wa Namibia apokelewa Ikulu Dar

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 20, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Jumamosi amepokea Rais wa Namibia, Dkt Netumbo Nandi-Ndaitwah, katika Ikulu ya Dar es Salaam, ikiwa ni mwanzo wa ziara…

Continue ReadingRais wa Namibia apokelewa Ikulu Dar
Read more about the article Serikali yakanusha madai ya kuzuiwa wafanyakzi wasio Wazanzibar

Serikali yakanusha madai ya kuzuiwa wafanyakzi wasio Wazanzibar

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 20, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili Zanzibar, Hamza Hassan Juma amesema hakuna mwananchi wa Tanzania Bara, aliyezuiwa kuingia kazini kwa kigezo cha kutakiwa kuwa…

Continue ReadingSerikali yakanusha madai ya kuzuiwa wafanyakzi wasio Wazanzibar
Read more about the article Bodi ya DAWASA yaingia mtaani kukagua upatikanaji wa maji

Bodi ya DAWASA yaingia mtaani kukagua upatikanaji wa maji

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 19, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), chini ya Mwenyekiti wake, Mhandisi Romanus Mwang’ingo, imefanya ziara katika maeneo mbalimbali ya Jiji la…

Continue ReadingBodi ya DAWASA yaingia mtaani kukagua upatikanaji wa maji
Read more about the article Marekani yaipa Tanzania nafasi ya kuanza mchakato wa mageuzi

Marekani yaipa Tanzania nafasi ya kuanza mchakato wa mageuzi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 18, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Bunge la Seneti la Marekani limefanya mabadiliko katika Muswada wa Mapitio ya Uhusiano wa Uwili kati ya Marekani na Tanzania kwa kulegeza masharti kuhusu hatua zinazotakiwa kuchukuliwa na Tanzania katika…

Continue ReadingMarekani yaipa Tanzania nafasi ya kuanza mchakato wa mageuzi
Read more about the article Marekani yasisitiza mazungumzo ya maridhiano CCM na upinzani

Marekani yasisitiza mazungumzo ya maridhiano CCM na upinzani

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 18, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Bunge la Seneti la Marekani limetaka kuanza kwa mazungumzo ya maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani, ikiwa ni sehemu ya mapitio ya uhusiano wa kidiplomasia…

Continue ReadingMarekani yasisitiza mazungumzo ya maridhiano CCM na upinzani
Read more about the article Marekani, Iran zakubaliana kutoingiliana mambo ya ndani

Marekani, Iran zakubaliana kutoingiliana mambo ya ndani

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 18, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

Serikali ya Marekani na Jamhuri ya Iran zimekubaliana kuheshimu mamlaka, mipaka ya kila mmoja na kutoingilia mambo ya ndani ya nchi husika, ikiwa ni sehemu ya makubaliano kadhaa yaliyofikiwa kufuatia…

Continue ReadingMarekani, Iran zakubaliana kutoingiliana mambo ya ndani
Read more about the article Bodi DAWASA yasisitiza kukamilika kwa wakati ufungaji pampu mpya za maji

Bodi DAWASA yasisitiza kukamilika kwa wakati ufungaji pampu mpya za maji

  • Post author:Gabriel
  • Post published:June 18, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko

‎Na Mwandishi Wetu, Pwani Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhandisi Romanus Mwang’ingo, imekagua zoezi la ufungaji…

Continue ReadingBodi DAWASA yasisitiza kukamilika kwa wakati ufungaji pampu mpya za maji
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • …
  • 144
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search Press Escape to close the search panel.
Close Menu
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Search this website