Tanzania, Marekani kuimarisha uhusiano
Tanzania na Marekani zimeonyesha dhamira ya kuendeleza uhusiano wa kidiplomasia baada ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, kukutana na Afisa Mkuu wa…
Tanzania na Marekani zimeonyesha dhamira ya kuendeleza uhusiano wa kidiplomasia baada ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, kukutana na Afisa Mkuu wa…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe maalumu wa Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Maelfu ya Watanzania wanaofanya kazi katika sekta rasmi na isiyo rasmi wanatarajiwa kupata fursa mpya ya kuweka akiba na kuwekeza kwa muda mrefu kufuatia…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema mageuzi yanayofanyika kwenye sekta ya fedha yanapaswa kuakisi maisha halisi ya wananchi, si kubaki katika takwimu. Dkt Samia ameeleza hayo leo Juni 12, 2026…
Serikali imesema katika mwaka wa fedha 2026/25 imepanga kutoa msamaha wa kodi ya mapato kwa wafanyabiashara wapya kwa kipindi cha mwaka mmoja tangu tarehe ya kupata namba ya utambulisho wa…
Serikali imeongeza mtaji wa Mfuko wa Machinga kwa Sh bilioni 10.5 katika mwaka wa fedha 2025/26 ili kupanua fursa za mitaji kwa wafanyabiashara wadogo nchini. Waziri wa Fedha, Balozi Khamis…
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar amewasilisha mapendekezo ya hatua mpya za kodi kwa mwaka 2026/27 akisema yatajibu maswali na kukidhi kiu ya wananchi, wafanyabiashara na wawekezaji kwa kuweka…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema kuwa ziara za Rais Samia Suluhu Hassan katika mataifa mbalimbali zina lengo la kuvutia fursa za…
Bunge la Marekani, limeondoa baadhi ya vipengele vilivyotoa masharti makali kuhusu uhusiano wa Taifa hilo na Tanzania, huku moja ya mabadiliko makubwa ikiwa ni kufutwa kwa pendekezo la kusitisha ushirikiano…
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema ushirikiano kati ya Tanzania na Urusi unaendelea kuimarika kutokana na historia ndefu ya urafiki na maslahi ya pamoja ya maendeleo. Akizungumza katika mahojiano aliyofanya na…