Dkt Samia ampokea Rais Shanmugaratnam wa Singapore Ikulu
Rais wa Singapore, Tharman Shanmugaratnam, amewasili Ikulu ya Dar es Salaam na kupokelewa kwa heshima na mwenyeji wake, Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Mapokezi hayo yaliambatana na gwaride la heshima…
