Haya hapa matokeo ya mtihani wa darasa la saba (PSLE) 2024
BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) leo tarehe 29 Oktoba, 2024 limetangaza matokeo ya mitihani ya darasa la saba ambayo yanaonesha kuwa jumla ya watahiniwa 974,229 sawa na 80.87%, watahiniwa wenye…