Biteko awapa tano Monduli kwa utatuzi migogoro ya ardhi
Na Mwandishi Wetu, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameupongeza uongozi wa Wilaya ya Monduli kwa jitihada zao za kutatua migogoro ya ardhi wilayani…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameupongeza uongozi wa Wilaya ya Monduli kwa jitihada zao za kutatua migogoro ya ardhi wilayani…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Jukwaa la Pili la Kimataifa la Utalii Wa Vyakula la Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) Kanda ya Afrika lililoanza leo Aprili 22, 2025 jijini Arusha…
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa siku 30 na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO anayetekeleza ujenzi wa upanuzi wa barabara ya Nsalaga - Ifisi (km 29) kwa njia nne, jijini…
Kiutamaduni Mapapa huchaguliwa na makasisi wakuu wanaoitwa Makadinali kupitia mchakato wa uchaguzi wa siri ulioanzia karne nyingi nyuma. Papa mpya huchaguliwa baada ya aliyemadarakani kufariki, au baada ya kujiuzulu kama…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wafanyabiashara kutoka maeneo mbalimbali ya Tanzania wameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa maboresho ya miundombinu yanayoendelea katika bandari zake hapa nchini,…
Papa Francis amefariki dunia leo Jumatatu ya Pasaka, Aprili 21, 2025, akiwa na umri wa miaka 88 katika makazi yake katika Casa Santa Marta, Vatican. Muda mfupi uliopita, Mwadhama, Kardinali…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma SERIKALI imesema inawasiliana kwa mara ya mwisho na serikali za Afrika Kusini na Malawi ili ziruhusu mazao ya Tanzania yaingie katika nchi hizo. Waziri wa Kilimo,…
Na Mwandishi Wetu, Mara Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo Aprili 16,2025 ameongoza maelfu ya wananchi pamoja na viongozi mbalimbali kwenye shughuli ya maziko ya…
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) imepongezwa kwa kuendelea kuimarisha huduma za Optometria zinazotolewa katika idara ya macho huku ikishauriwa kuimarisha huduma zake na…
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amqni na usalama wa nchi. Ameisitiza kuwa amani iliyopo si mali ya chama cha siasa bali…