Habari za Hivi Punde

Miaka 4 ya Samia, Arumeru yapokea bilioni 100.6
Na Mwandishi Wetu, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema wananchi wa wilayani Arumeru,

Wizara ya Sheria yaishukuru NMB kukijengea uwezo Kituo cha Huduma cha Wizara
NA MWANDISHI WETU WIZARA ya Katiba na Sheria (MoCLA), imeishukuru Benki ya NMB kwa kukubali kuendesha mafunzo ya kukijengea uwezo

Makusanyo ya mapato Magu yapaa, shule 24 mpya zafunguliwa
Mwenyekiti wa Halmaahauri ya Wilaya ya Magu, Simon Mpandalume amesema katika kipindi cha miaka mitano Halmashauri hiyo imeongeza makusanyo ya
Share this Post
Habari Mchanganyiko

Biteko akemea migogoro binafsi kwa viongozi Arusha
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka viongozi kote nchini kuweka maslahi ya wananchi mbele na

Biteko awapa tano Monduli kwa utatuzi migogoro ya ardhi
Na Mwandishi Wetu, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameupongeza uongozi wa Wilaya ya

Jukwaa la kimataifa la utalii wa vyakula kukutanisha wabobezi wa utalii zaidi ya 300
Na Mwandishi Wetu, Arusha Jukwaa la Pili la Kimataifa la Utalii Wa Vyakula la Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism)
Share this Post
Usafiri wa Anga

Air Tanzania yarejesha safari za Afrika Kusini
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limepanga kuanzisha tena safari za moja kwa moja kuelekea Jonannesburg nchini Afrika Kusini. Kulingana

Mbarawa: NIT zalisheni marubani watakaotumia ndege mafunzo kwa ufanisi
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, ameutaka uongozi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kuhakikisha kinazalisha marubani wa kutosha

Vitisho vya Mabomu Vyazua Taharuki Safari za Ndege India
Ndege zisizopungua 10 za mashirika tofauti ya ndege nchini India, zimelazimika kusitisha safari zake za ndege, kuchelewesha ratiba na kubadili
Share this Post
Usafiri wa Majini

TPA yafungua milango kwa sekta binafsi kuchangamkia fursa bandarini
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imeitaka sekta binafsi Tanzania kutumia fursa ya

Viongozi wataka jamii kulinda rasilimali za mradi wa EACOP
Na Mwandishi Wetu, Arusha Viongozi wa jamii ya watu wanaoishi pembezoni mwa miji, maarufu kama watu wa asili wamezitaka jamii zao

Wahamiaji 27 wafariki baada ya boti kupinduka pwani ya Tunisia
Wahamiaji 27 wakiwemo wanawake na watoto, wamefariki dunia wakati boti mbili zilipopinduka kwenye pwani katikati mwa Tunisia, huku watu 83
Share this Post
Usafiri wa Nchi Kavu

Majaliwa aitaka TARURA kuwasimamia wakandarasi binafsi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameigazia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ihakikishe inatoa kandarasi za ujenzi na ukarabati

Mkandarasi anayejenga barabara Dodoma kukatwa fedha
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia miundombinu,

TAMISEMI yawakaba koo wakandarasi wanaojenga barabara Arusha
Na Mwandishi Wetu, Arusha NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tamisemi anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Mativila ameagiza wakandarasi wanaojenga barabara
Share this Post
Habari za Michezo na Burudani

DC Kinondoni awalipia mabondia waliokosa pasipoti
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule leo Ijumaa amegharamia malipo ya utengenezwaji wa paspoti kwa baadhi ya mabondia wa

Ndoa ya Yanga, Ramovic yavunjika, Kocha Singida abeba mikoba
Klabu ya Yanga Sc imemtangaza Miloud Hamdi ambaye alikuwa Singida Black Stars mwenye uraia wa Algeria na Ufaransa kuwa kocha

Ujenzi Uwanja wa AFCON Arusha wafikia 25%
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema ujenzi wa