Mkurugenzi NMB awafunda wahitimu ‘Form Four’ Charlotte Sekondari
Na Mwandishi Wetu, Morogoro KUELEKEA mitihani ya Taifa ya Kidato cha Nne itakayofanyika Novemba 11, 2024, wahitimu wa Shule ya Sekondari Charlotte iliyopo Tungi Mkwajuni, Manispaa ya Morogoro, wametakiwa kumtanguliza…
