Samia: Hivi ndivyo, utu wa mtu unavyotunzwa, kuimarishwa
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan ameeleza namna pembejeo na mbolea za ruzuku zilivyowezesha kuongeza uzalishaji wa mazao ya ufuta, korosho na karanga wilayani Nanyumbu…
