Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article NMB yadhamini Maonesho ya kimataifa ya mifugo kwa Mil. 300

NMB yadhamini Maonesho ya kimataifa ya mifugo kwa Mil. 300

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 13, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Katika kuunga mkono jitihada za Serikali za kukuza shughuli za ufugaji nchini, Benki ya NMB imesaini makubaliano ya udhamini wa miaka mitatu kwa ajili ya maonesho ya Mifugo ya Kimataifa…

Continue ReadingNMB yadhamini Maonesho ya kimataifa ya mifugo kwa Mil. 300
Read more about the article Dkt. Samia kuwa kinara wa afya ya mama na mtoto Afrika

Dkt. Samia kuwa kinara wa afya ya mama na mtoto Afrika

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 12, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amependekezwa kuteuliwa kuwa kinara wa Umoja wa Afrika (AU) katika Masuala ya Afya ya Mama na Mtoto, uteuzi ambao unatarajiwa kupitishwa rasmi na Mkutano wa…

Continue ReadingDkt. Samia kuwa kinara wa afya ya mama na mtoto Afrika
Read more about the article TAMISA yashiriki kongamano la madini Afrika Kusini

TAMISA yashiriki kongamano la madini Afrika Kusini

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 12, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Afrika Kusini Chama cha Wasambazaji wa Bidhaa na Watoa Huduma Migodini (TAMISA) kinashiriki katika Kongamano la Kimataifa la Madini (Mining Indaba 2026) linaloendelea jijini Cape Town, Afrika…

Continue ReadingTAMISA yashiriki kongamano la madini Afrika Kusini
Read more about the article Dkt. Homera azitaka bodi za Udhamini kujiepusha na ubadhirifu mali za umma

Dkt. Homera azitaka bodi za Udhamini kujiepusha na ubadhirifu mali za umma

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 11, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Katavi Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Zuberi Homera, amezitaka Bodi za Wadhamini zinazosimamia taasisi zisizo za kiserikali, taasisi za kidini, michezo na taasisi nyingine zinazotoa…

Continue ReadingDkt. Homera azitaka bodi za Udhamini kujiepusha na ubadhirifu mali za umma
Read more about the article Magu yapongezwa kwa kuimarisha mazingira rafiki ya ufanyaji biashara

Magu yapongezwa kwa kuimarisha mazingira rafiki ya ufanyaji biashara

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 11, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Mwanza Sekta ya Biashara na Uwekezaji katika Wilaya ya Magu imepongezwa kwa kuboresha mazingira rafiki ya ufanyaji wa biashara hatua iliyochochea ongezeko la makusanyo ya mapato kutoka…

Continue ReadingMagu yapongezwa kwa kuimarisha mazingira rafiki ya ufanyaji biashara
Read more about the article TAMISA yataja maeneo 20 muhimu ya ‘kupiga pesa’ kwenye madini

TAMISA yataja maeneo 20 muhimu ya ‘kupiga pesa’ kwenye madini

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 10, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Chama cha Wasambazaji wa Bidhaa na Watoa Huduma Migodini (TAMISA) kimebainisha maeneo 20 muhimu ambayo Serikali imeyaainisha hivi karibuni kwa Watanzania waweze kushiriki kikamilifu…

Continue ReadingTAMISA yataja maeneo 20 muhimu ya ‘kupiga pesa’ kwenye madini
Read more about the article Maandalizi ujenzi kiwanja kipya cha ndege Serengeti yaiva

Maandalizi ujenzi kiwanja kipya cha ndege Serengeti yaiva

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 9, 2026
  • Post category:Usafiri wa Anga
  • Post comments:0 Comments

Maandalizi ya awali ya ujenzi wa Kiwanja Kipya cha Ndege cha Kimataifa cha Serengeti yameanza rasmi, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa usafiri wa anga nchini na kurahisisha upatikanaji wa utalii…

Continue ReadingMaandalizi ujenzi kiwanja kipya cha ndege Serengeti yaiva
Read more about the article Dkt Samia: Asiyeendana na kasi yangu atatupisha

Dkt Samia: Asiyeendana na kasi yangu atatupisha

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 9, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema atachukua hatua za kumuondoa mtendaji yeyote kati ya wateule wake atakayeshindwa kuendana na kasi ya utendaji wake. Dkt Samia ameeleza hayo leo, Jumatatu Februari…

Continue ReadingDkt Samia: Asiyeendana na kasi yangu atatupisha
Read more about the article Dkt Samia: Tukaifanye Tanzania iendelee

Dkt Samia: Tukaifanye Tanzania iendelee

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 9, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amewataka watendaji wote aliowateuwa na kuwaapisha, kuhakikisha wanaifanya Tanzania iendelee na wasimamie utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo ya mwaka 2050. Dkt Samia ametoa…

Continue ReadingDkt Samia: Tukaifanye Tanzania iendelee
Read more about the article Dkt. Samia: Nimeteuwa kukidhi matarajio ya wananchi

Dkt. Samia: Nimeteuwa kukidhi matarajio ya wananchi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 9, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema uteuzi wa watendaji wa nafasi mbalimbali alioufanya hivi karibuni, umelenga kuongeza kasi ya utendaji, kuimarisha uwajibikaji, kulinganisha majukumu na vipaumbele vya Taifa na kuendana…

Continue ReadingDkt. Samia: Nimeteuwa kukidhi matarajio ya wananchi
  • Go to the previous page
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • …
  • 111
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu