TARURA yakamilisha ujenzi barabara, daraja la bil.4.2 Msadya
Na Mwandishi Wetu, Katavi Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa daraja la Msadya lenye urefu wa mita 60 na upana mita 10.5 pamoja…
Na Mwandishi Wetu, Katavi Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa daraja la Msadya lenye urefu wa mita 60 na upana mita 10.5 pamoja…
Na Mwandishi Dar es Salaam Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambae ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya NBC jana iliipamba mechi ya Simba na Yanga maarufu kama ‘Kariakoo…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Serikali inafanya mazungumzo na kampuni ya China Overseas Engineering Group Co. Ltd. (COVEC) ambayo imeonesha nia kuwekeza Dola za Marekani bilioni 1 (zaidi ya…
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam Baadhi ya wananchi na wanafunzi wamepongeza maboresho ya kituo cha huduma ya wateja cha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ambacho kinataja kuwarahisisha utoaji…
Na Mwandishi Wetu, Tanga IMEELEZWA kuwa utendaji wa Bandari ya Tanga umeimarika kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uwekezaji wa serikali wa Sh429.1 bilioni. Bandari ya…
Kwa mara ya kwanza duniani na kwa kushirikiana na @mastercard, Benki ya NMB (@nmbtanzania) imezindua rasmi mfumo wa malipo wa Lipa kwa QR link (QR pay by link with click…
IMEELEZWA kuwa Mradi wa bomba la mafuta ghafi wa Afrika Mashariki (EACOP) kupitia programu ya urejeshaji na ulinzi wa viumbe hai wa baharini na ajira katika mwambao wa Tanga, unatarajiwa…
Rais wa Kenya, William Ruto amemteua Waziri wa Usalama wa Ndani, Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais mpya kufuatia kutimuliwa kwa Rigathi Gachagua jana Alhamisi usiku. Jina la Kindiki limewasilishwa bungeni…
Shirika la Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation-MCC) la Serikali ya Marekani limeeleza kuridhishwa kwake na mageuzi ya mifumo ya kiutendaji, yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita katika maeneo…
Wabunge wa Tanzania kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) wamesisitizwa kuyabeba majukumu waliyopewa kwa uzito unaostahili, huku wakiweka mbele maslahi ya umma wakati wanatekeleza majukumu yao. Maagizo hayo…