Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Mabalozi waahidi kuongeza kasi kutangaza vivutio vya Tanzania

Mabalozi waahidi kuongeza kasi kutangaza vivutio vya Tanzania

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 14, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Arusha Mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali pamoja na mashirika ya kimataifa wameonesha kuvutiwa na vivutio vilivyoko nchini, huku wakiahidi kuiongezea nguvu Tanzania katika kutangaza vivutio hivyo kwenye nchi…

Continue ReadingMabalozi waahidi kuongeza kasi kutangaza vivutio vya Tanzania
Read more about the article Awamu ya pili uboreshaji daftari la wapiga kura kuanza Mei

Awamu ya pili uboreshaji daftari la wapiga kura kuanza Mei

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 14, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura awamu ya pili utafanyika sambamba na uwekaji wazi wa Daftari la Awali la Wapiga Kura kuanzia tarehe 01…

Continue ReadingAwamu ya pili uboreshaji daftari la wapiga kura kuanza Mei
Read more about the article Serikali yaipongeza NMB kwa kampeni  bora ya Upandaji Miti Tanzania

Serikali yaipongeza NMB kwa kampeni  bora ya Upandaji Miti Tanzania

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 13, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

NA MWANDISHI WETU, KIBAHA SERIKALI imeipongeza Benki ya NMB kwa kutenga kiasi cha Sh. Mil. 225 kwa ajili ya kuzawadia Shule Bora katika Kampeni ya Upandaji Miti Milioni 1 ‘Kuza…

Continue ReadingSerikali yaipongeza NMB kwa kampeni  bora ya Upandaji Miti Tanzania
Read more about the article Rasmi CHADEMA imejiondoa kushiriki uchaguzi mkuu 2025

Rasmi CHADEMA imejiondoa kushiriki uchaguzi mkuu 2025

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 12, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Ni rasmi Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu wa wabunge, madiwani na urais, utakaofanyika baadaye mwaka huu, baada ya chama hicho, kususia kusaini kanuni…

Continue ReadingRasmi CHADEMA imejiondoa kushiriki uchaguzi mkuu 2025
Read more about the article Taasisi 1,272 zaunganishwa na umeme  Lindi

Taasisi 1,272 zaunganishwa na umeme  Lindi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 11, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dodom Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kipaumbele cha Serikali ni kuhakikisha Taasisi zote zinazotoa huduma za kijamii, kiuchumi na kidini zinafikiwa na nishati ya umeme…

Continue ReadingTaasisi 1,272 zaunganishwa na umeme  Lindi
Read more about the article Tume, Serikali na vyama vya siasa kusaini maadili ya uchaguzi

Tume, Serikali na vyama vya siasa kusaini maadili ya uchaguzi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 11, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, vyama vya siasa na Serikali kesho tarehe 12 Aprili, 2025 wanatarajiwa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi yatakayotumika kwenye uchaguzi…

Continue ReadingTume, Serikali na vyama vya siasa kusaini maadili ya uchaguzi
Read more about the article Rais Samia ateta na Mmiliki Machester United

Rais Samia ateta na Mmiliki Machester United

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 11, 2025
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani
  • Post comments:0 Comments

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 11, 2025, amekutana na kufanya mazungumzo na mmiliki wa Klabu ya Mpira wa Miguu ya Manchester United…

Continue ReadingRais Samia ateta na Mmiliki Machester United
Read more about the article Umoja wa Ulaya kutoa bilioni 182 kuongeza kasi mageuzi sekya ya madini

Umoja wa Ulaya kutoa bilioni 182 kuongeza kasi mageuzi sekya ya madini

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 11, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Madini, Anthony Mavunde leo Ijumaa amekutana na Ujumbe kutoka Umoja wa Ulaya(EU) kujadiliana juu ya maendeleo ya sekta ya madini nchini na hasa uendelezaji…

Continue ReadingUmoja wa Ulaya kutoa bilioni 182 kuongeza kasi mageuzi sekya ya madini
Read more about the article NLD kushiriki uchaguzi mkuu, Doyo awa mgombea urais

NLD kushiriki uchaguzi mkuu, Doyo awa mgombea urais

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 11, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Chama cha National League for Democracy (NLD) kimemtangaza rasmi, mwanachama na Katibu Mkuu wao, Doyo Hassan Doyo, kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ifikapo mwezi Oktoba mwaka…

Continue ReadingNLD kushiriki uchaguzi mkuu, Doyo awa mgombea urais
Read more about the article Wanaopisha njia ya umeme Kilindi kulipwa bilioni 2.6

Wanaopisha njia ya umeme Kilindi kulipwa bilioni 2.6

  • Post author:Gabriel
  • Post published:April 10, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inaendelea na ukarabati wa miundombinu ya kusambaza umeme ili kuondokana na changamoto ya kukatika kwa umeme…

Continue ReadingWanaopisha njia ya umeme Kilindi kulipwa bilioni 2.6
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 54
  • 55
  • 56
  • 57
  • 58
  • 59
  • 60
  • …
  • 111
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu