Bilioni 5 kujenga stendi ya mabasi Madaba
Na Mwandishi Wetu, Ruvuma Mradi wa ujenzi wa stendi ya kisasa ya mabasi katika Halmashauri ya Madaba Wilayani Songea Mkoani Ruvuma, unatarajiwa kuanza wiki ijayo kwa thamani ya Sh bilioni…
Na Mwandishi Wetu, Ruvuma Mradi wa ujenzi wa stendi ya kisasa ya mabasi katika Halmashauri ya Madaba Wilayani Songea Mkoani Ruvuma, unatarajiwa kuanza wiki ijayo kwa thamani ya Sh bilioni…
Na Mwandishi Wetu, Pwani Serikali inataka faida itokanayo na uwekezaji ‘return on investment’ katika kampuni ambazo inaumiliki wa hisa chache iongezeke kutoka asilimia saba ya sasa hadi kufikia zaidi ya…
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameagiza miradi mikubwa na ya kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni kuanza utekelezaji wake mara moja ili kuchochea ukuaji wa sekta na kuleta manufaa…
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesema kufunguliwa kwa matawi ya benki karibu na wananchi kutasaidia kuondokana na wakopeshaji binafsi maarufu kama kausha damu ambao licha ya kutoza riba kubwa,…
Na Mwandishi wetu, ArushaWatumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) leo tarehe 28 machi, 2025 wameunga mkono kampeni ya upandaji miti iliyozinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imepokea pongezi kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa utendaji wake bora katika…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) umefikia hatua muhimu kwa kufanikisha upatikanaji wa sehemu ya kwanza ya ufadhili wa nje,…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limewakamata watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kumuua mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari Kagwa iliyopo manispaa ya Sumbawanga aitwaye Novatus Adelhard…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu watatu waliokamatwa wakiwa na gramu 3263.72 za dhahabu yenye thamani ya shilingi milioni 749.5 Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumatano na…
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa - Vienna, Naimi Sweetie Hamza Aziz ameshiriki Hafla ya Makabidhiano ya fedha za msaada wa…