Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Mambo Mbotela wa ‘ Jee, Huu ni uungwana?’ afariki dunia

Mambo Mbotela wa ‘ Jee, Huu ni uungwana?’ afariki dunia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 7, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mwanahabari mkongwe wa Kenya Leonard Mambo Mbotela amefariki dunia. Mkwe wake Anne Mbotela alithibitisha habari hizo za kusikitisha kwa vyombo vya habari nchini humo leo Ijumaa asubuhi. Amesema Mwanahabari huyo…

Continue ReadingMambo Mbotela wa ‘ Jee, Huu ni uungwana?’ afariki dunia
Read more about the article Wataalaam wa ununuzi na ugavi waaswa kuzongatia maadili

Wataalaam wa ununuzi na ugavi waaswa kuzongatia maadili

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 6, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Wataalamu wa sekta ya ununuzi wa umma wameaswa kuzingatia maadili ya taaluma ya fani yao katika usimamizi wa miradi ya umma ili kuiwezesha Serikali kupata thamani halisi ya fedha katika…

Continue ReadingWataalaam wa ununuzi na ugavi waaswa kuzongatia maadili
Read more about the article Njombe wakusanya bilioni 4.5 kwenye makaa ya mawe

Njombe wakusanya bilioni 4.5 kwenye makaa ya mawe

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 6, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

MAKUSANYO  ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya madini katika Mkoa wa Njombe  yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali yameendelea kupaa kutoka mwaka hadi mwaka tangu kuanzishwa kwa Ofisi ya Tume…

Continue ReadingNjombe wakusanya bilioni 4.5 kwenye makaa ya mawe
Read more about the article Dk. Mpango aongoza wananchi kuaga mwili wa mama’ke Prof. Mkenda

Dk. Mpango aongoza wananchi kuaga mwili wa mama’ke Prof. Mkenda

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 6, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 06 Februari 2025, wameungana na viongozi na wananchi mbalimbali katika Ibada ya kumuaga marehemu Sekunda Massawe…

Continue ReadingDk. Mpango aongoza wananchi kuaga mwili wa mama’ke Prof. Mkenda
Read more about the article Dk. Serera apongeza utendaji kazi wa wakala wa vipimo

Dk. Serera apongeza utendaji kazi wa wakala wa vipimo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 5, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dk. Suleiman Serera ameipongeza Wakala wa Vipimo kwa kazi nzuri ya usimamizi wa vipimo katika sekta mbalimbali. Dkt. Serera ameyasema hayo alipotembelea…

Continue ReadingDk. Serera apongeza utendaji kazi wa wakala wa vipimo
Read more about the article Bilionea na kiongozi wa kiroho Aga Khan afariki dunia

Bilionea na kiongozi wa kiroho Aga Khan afariki dunia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 5, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Bilionea na kiongozi wa kiroho Aga Khan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88, limetangaza shirika lake la hisani la Aga Khan Development Network. Prince Karim Aga Khan alikuwa…

Continue ReadingBilionea na kiongozi wa kiroho Aga Khan afariki dunia
Read more about the article Wananchi, Vikundi vya Kijamii Wete Pemba vyapigwa msasa NMB Kijiji Day

Wananchi, Vikundi vya Kijamii Wete Pemba vyapigwa msasa NMB Kijiji Day

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 4, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

NA MWANDISHI WETU, PEMBA SERIKALI ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, imewataka Wananchi na Vikundi vya Kijamii na Ushirika Wilaya ya Wete, kuitumia vema Elimu ya Fedha na Huduma Jumuishi za…

Continue ReadingWananchi, Vikundi vya Kijamii Wete Pemba vyapigwa msasa NMB Kijiji Day
Read more about the article Injini za Airbus zaitia hasara ya bilioni 127/- ATCL kila mwaka

Injini za Airbus zaitia hasara ya bilioni 127/- ATCL kila mwaka

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 4, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

WAKATI Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) likijinasibu kupata mafanikio katika huduma zake Kamati ya Bunge ya Miundombinu imesema matatizo ya kiusanifu ya injini za ndege aina ya Airbus A220-300 ambazo…

Continue ReadingInjini za Airbus zaitia hasara ya bilioni 127/- ATCL kila mwaka
Read more about the article Waasi M23 wasitisha mapigano Kongo

Waasi M23 wasitisha mapigano Kongo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 4, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Waasi wa M23 wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda wametangaza usitishaji wa mapigano kuanzia leo Jumanne huko mashariki mwa Kongo kwa sababu za kibinadamu. Haya yanafuatia miito ya njia salama ya…

Continue ReadingWaasi M23 wasitisha mapigano Kongo
Read more about the article Usambazaji umeme vitongojini wamefikia asilimia 52.3

Usambazaji umeme vitongojini wamefikia asilimia 52.3

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 4, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa hadi kufikia Januari, 2025, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imekamilisha upelekaji wa umeme kwenye vijiji vyote 12,318 nchini na kwamba…

Continue ReadingUsambazaji umeme vitongojini wamefikia asilimia 52.3
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 74
  • 75
  • 76
  • 77
  • 78
  • 79
  • 80
  • …
  • 111
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu