Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Trump kuapishwa ndani ya jengo la bunge leo

Trump kuapishwa ndani ya jengo la bunge leo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 20, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

RAIS mteule wa Marekani, Donald Trump anatarajiwa kuapishwa leo Januari 20, 2025 kuwa rais wa 47 wa taifa hilo kubwa duniani ambapo uapisho huo utafanyika ndani ya jengo la Bunge…

Continue ReadingTrump kuapishwa ndani ya jengo la bunge leo
Read more about the article Prof. Lipumba aunda safu kukabiliana na uchaguzi mkuu 2025

Prof. Lipumba aunda safu kukabiliana na uchaguzi mkuu 2025

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 20, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amewateua wakurugenzi, manaibu wakurugenzi, katibu na naibu katibu wa kamati ya itifaki na udhibiti baada ya kushauriana na makamu wenyeviti. Taarifa…

Continue ReadingProf. Lipumba aunda safu kukabiliana na uchaguzi mkuu 2025
Read more about the article Rais Tshisekedi akataa mazungumzo na M23

Rais Tshisekedi akataa mazungumzo na M23

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 20, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Felix Tshisekedi ameondowa uwezekano wa kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na kundi la M23, akisema kwamba hatua hiyo italipa uhalali kundi hilo.…

Continue ReadingRais Tshisekedi akataa mazungumzo na M23
Read more about the article TRA yakusanya Sh bilioni 71.5 kwa miezi sita Kariakoo

TRA yakusanya Sh bilioni 71.5 kwa miezi sita Kariakoo

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 20, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh bilioni 71.5 sawa na asilimia 104 katika kipindi cha miezi sita cha mwaka mpya wa fedha 2024/25 kutoka eneo la kimkakati la mkoa…

Continue ReadingTRA yakusanya Sh bilioni 71.5 kwa miezi sita Kariakoo
Read more about the article DC Nzega awalipia wazee gharama za kuunganishiwa umeme

DC Nzega awalipia wazee gharama za kuunganishiwa umeme

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 20, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Katika kuunga mkono kampeni ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ya kuhamasisha wananchi kuunganisha umeme kwenye nyumba zao, Mkuu wa Wilaya ya Nzega, Naitapwaki Tukai amewalipia gharama za kuunganisha umeme…

Continue ReadingDC Nzega awalipia wazee gharama za kuunganishiwa umeme
Read more about the article Kamati ya fedha yaridhishwa na utekelezaji wa miradi ya halmashauri Magu

Kamati ya fedha yaridhishwa na utekelezaji wa miradi ya halmashauri Magu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 16, 2025
  • Post category:Usafiri wa Nchi Kavu
  • Post comments:0 Comments

Kamati ya fedha, uongozi na mipango katika halmashauri ya wilaya ya Magu imeeleza kuridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa wilayani humo.  Hayo yamebainishwa katika ziara ya kamati hiyo…

Continue ReadingKamati ya fedha yaridhishwa na utekelezaji wa miradi ya halmashauri Magu
Read more about the article NMB taasisi ya kwanza Tanzania kutambuliwa kuwa mwajiri kinara 2025

NMB taasisi ya kwanza Tanzania kutambuliwa kuwa mwajiri kinara 2025

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 16, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

NA MWANDISHI WETU BENKI ya NMB imekuwa Taasisi ya Kwanza ya Kitanzania kupata ithibati ya kuwa Mwajiri Kinara Tanzania kwa Mwaka 2025, inayotolewa na taasisi bobevu na mahiri ya masuala…

Continue ReadingNMB taasisi ya kwanza Tanzania kutambuliwa kuwa mwajiri kinara 2025
Read more about the article TPA yafungua milango kwa  sekta binafsi kuchangamkia fursa bandarini

TPA yafungua milango kwa  sekta binafsi kuchangamkia fursa bandarini

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 16, 2025
  • Post category:Usafiri wa Majini
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari  nchini (TPA) imeitaka sekta binafsi Tanzania kutumia fursa ya maboresho yaliyofanyika katika Bandari ya Dar es Salaam kufanya biashara…

Continue ReadingTPA yafungua milango kwa  sekta binafsi kuchangamkia fursa bandarini
Read more about the article Watanzania kunufaika na mashindano ya CHAN 2025 na AFCON 2027

Watanzania kunufaika na mashindano ya CHAN 2025 na AFCON 2027

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 16, 2025
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani
  • Post comments:0 Comments

IMEELEZWA kuwa Watanzania watanufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii zitakazopatikana kuelekea mashindano ya CHAN 2025 na AFCON 2027. Hayo yamebainishwa jana Januari 15, 2025 na Naibu Waziri Mkuu…

Continue ReadingWatanzania kunufaika na mashindano ya CHAN 2025 na AFCON 2027
Read more about the article RITA yabaini wizi wa mali ya bilioni mbili msikiti wa Manyema

RITA yabaini wizi wa mali ya bilioni mbili msikiti wa Manyema

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 15, 2025
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Timu ya Uchunguzi iliyoundwa na Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kuchunguza mali ya Msikiti wa Manyema uliopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam…

Continue ReadingRITA yabaini wizi wa mali ya bilioni mbili msikiti wa Manyema
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 80
  • 81
  • 82
  • 83
  • 84
  • 85
  • 86
  • …
  • 111
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu