UNIDO yaipatia Tanzania bilioni 12 kubusti nishati safi
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa - Vienna, Naimi Sweetie Hamza Aziz ameshiriki Hafla ya Makabidhiano ya fedha za msaada wa…
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa - Vienna, Naimi Sweetie Hamza Aziz ameshiriki Hafla ya Makabidhiano ya fedha za msaada wa…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Madini Mhandisi Yahya Samamba amesema kuwa, Serikali kupitia Wizara ya Madini imedhamiria kukuza sekta ya madini kwa kuhakikisha madini yanachakatwa na kuongezwa…
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Dotto Biteko ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa Serikali inafurahishwa na mradi…
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika hatua ya kujali na kuthamini makundi maalumu katika jamii imetoa msaada wa mahitaji ya kibinadamu katika kituo cha…
Na Mwandishi Wetu, Pwani Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amemtaka Meneja wa Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Pwani, Mhandisi Leopold Runji, kuhakikisha…
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum, Wanu Hafidh Ameir jana tarehe 22 Machi, 2025 amekabidhi kisima cha maji katika Kijiji cha…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Taifa wa Uhifadhi wa Chakula nchini (NFRA) Balozi John Ulanga ameitabiria mafanikio makubwa taasisi hiyo kutokana na jitihada…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Timu ya wataalamu 53 kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) itajifungia kwa wiki mbili, kuanzia leo Jumatatu kufanya uchambuzi wa mipango na bajeti…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuongeza siku mbili zaidi za zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Mkoani Dar…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza majina ya waliochaguliwa kufanya usaili nafasi mbalimbali za kazi zilizotangwa kuanzia Februari 6 hadi 19 mwaka huu. Tangazo hilo lililotolewa na Idara ya Usimamnizi…