Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Dkt Samia: Nitatumia ushawishi kupata fedha za miradi

Dkt Samia: Nitatumia ushawishi kupata fedha za miradi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 8, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema ataendelea kutumia ulimi wake kuzungumza ili kuzishawishi taasisi za fedha ndani na nje ya nchi, ziipatie fedha Serikali kwa ajili…

Continue ReadingDkt Samia: Nitatumia ushawishi kupata fedha za miradi
Read more about the article Waziri Mkuu Ivory Coast ajiuzulu

Waziri Mkuu Ivory Coast ajiuzulu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 8, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Waziri Mkuu wa Cote Dvoire, Robert Beugré Mambé na serikali yake amejiuzulu, baada ya uchaguzi wa wabunge uliofanyika Desemba 27 mwaka uliopita. Jana Jumatano, Januari 7, Rais Allasane Ouattara amekubali…

Continue ReadingWaziri Mkuu Ivory Coast ajiuzulu
Read more about the article Wengi wavutiwa huduma za msaada wa kisheria bure, wapongeza

Wengi wavutiwa huduma za msaada wa kisheria bure, wapongeza

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 8, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Morogoro MAELFU ya wananchi mkoani  Morogoro wamevutiwa  na mpango wa huduma za msaada wa kisheria bila malipo na kuipongeza serikali huku wakisisitiza kuwa mpango huo utawasaidia wananchi…

Continue ReadingWengi wavutiwa huduma za msaada wa kisheria bure, wapongeza
Read more about the article Maelfu waandamana Venezuela wakitaka kurejeshwa kwa Maduro

Maelfu waandamana Venezuela wakitaka kurejeshwa kwa Maduro

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 7, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu Maelfu ya wafuasi wanayoiunga mkono serikali ya Venezuela wameandamana katikati mwa mji mkuu Caracas wakitaka kurejeshwa rais aliyeondolewa madarakani Nicolás Maduro na mke wake Cilia Flores. Maelfu…

Continue ReadingMaelfu waandamana Venezuela wakitaka kurejeshwa kwa Maduro
Read more about the article ‘Wachina wa mabilioni’ washtakiwa kwa uhujumu uchumi

‘Wachina wa mabilioni’ washtakiwa kwa uhujumu uchumi

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 7, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

RAIA wawili wa China, Weisi Wang (41) na Yao Licong, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Januari 7 wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ikiwemo kosa la utakatishaji…

Continue Reading‘Wachina wa mabilioni’ washtakiwa kwa uhujumu uchumi
Read more about the article Posho za askari kuongezwa
George Simbachawene

Posho za askari kuongezwa

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 6, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene  amesema serikali imeanza mazungumzo yenye dhamira ya kuboresha maslahi  ikiwemo makazi na posho kwa askari wote nchini ili kuweza kuboresha mazingira…

Continue ReadingPosho za askari kuongezwa
Read more about the article Mabadiliko kurejea kwa Taifa Stars, sasa ni tarehe 8

Mabadiliko kurejea kwa Taifa Stars, sasa ni tarehe 8

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 6, 2026
  • Post category:Habari za Michezo na Burudani
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Timu ya Taifa ya Kandanda ya Tanzania (Taifa Stars), ambayo ilikuwa irejee nchini kesho tarehe 07 Januari, 2025, sasa itarejea tarehe tarehe 08 Januari,…

Continue ReadingMabadiliko kurejea kwa Taifa Stars, sasa ni tarehe 8
Read more about the article Rais wa mpito Venezuela aapishwa, Maduro akikana mashtaka

Rais wa mpito Venezuela aapishwa, Maduro akikana mashtaka

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 6, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Delcy Rodríguez ameapishwa kuwa rais wa mpito wa Venezuela katika kikao cha bunge kilichoanza kwa wito wa kuachiliwa kwa rais aliyeondolewa na kuzuiliwa nchini Marekani Nicolás Maduro. Rodríguez, 56 ambaye…

Continue ReadingRais wa mpito Venezuela aapishwa, Maduro akikana mashtaka
Read more about the article Waziri Homera azindua huduma bure za msaada wa kisheria  Morogoro
Dkt. Juma Homera

Waziri Homera azindua huduma bure za msaada wa kisheria  Morogoro

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 6, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Morogoro Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera, amezindua kliniki ya huduma za msaada wa kisheria (Legal Aid Clinic) mkoani Morogoro, itakayotoa huduma za ushauri na…

Continue ReadingWaziri Homera azindua huduma bure za msaada wa kisheria  Morogoro
Read more about the article NMB yajivunia ushiriki, udhamini wa matukio Sherehe za Mapinduzi Z’bar

NMB yajivunia ushiriki, udhamini wa matukio Sherehe za Mapinduzi Z’bar

  • Post author:Gabriel
  • Post published:January 1, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR WAKATI Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ikiitunukia Cheti cha Shukrani na Pongezi kwa kufadhili, kudhamini na kushiriki Siku ya Kitaifa ya Mazoezi, Benki ya NMB imetambia…

Continue ReadingNMB yajivunia ushiriki, udhamini wa matukio Sherehe za Mapinduzi Z’bar
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • …
  • 111
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu