Serikali yataka mwendokasi irudi ndani ya siku 10
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) na wadau wote wanaohusika wakae na kutengeneza utaratibu wa mpito ili kurejesha huduma za usafiri huo ndani ya…
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameagiza Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) na wadau wote wanaohusika wakae na kutengeneza utaratibu wa mpito ili kurejesha huduma za usafiri huo ndani ya…
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba ameagiza kufunguliwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima, huku akielekeza lipewe miezi sita ya uangalizi katika kuzingatia miiko, masharti na sheria za uendeshwaji wake. Sambamba…
Kampuni ya usafiri wa mtandaoni, Bolt Tanzania, imezindua rasmi huduma zake katika mji wa Moshi mkoani Kilimanjaro, hatua inayoonekana kama mafanikio makubwa katika juhudi za kuleta suluhisho la usafiri wa…
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ana imani na matumaini makubwa na Tume aliyoiunda ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani ya Oktoba 29, mwaka huu na kwamba itatenda haki. “Jana…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema ameunda Tume ya ndani Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani, ili zitakapoletwa zile za kimataifa zikutane na iliyopo na kupeana taarifa. Rais Dkt Samia…
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka ameutaja wasifu wa Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani, Jaji mstaafu Mohamed Chande Othman kuwa mzoefu katika tasnia ya sheria. Sio tasnia…
Shiriko la Soka barani Afrika (CAF), limemtunuku Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan tuzo ya heshima kutokana na mchango mkubwa kwenye maandalizi ya uenyeji wa michuano ya CHAN 2024. Pamoja…
Taasisi za Kiislamu na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), zimeunga mkono hatua mbalimbali zilizochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan baada ya vurugu za Oktoba 29, ikiwemo kuunda tume ya…
Taasisi na Jumuiya za Kiislamu na Baraza la Waislamu Tanzania, (Bakwata), zimelaani matukio ya vurugu yaliyotokea Oktoba 29, 2025 na kusababisha vifo vya watu, uharibifu wa mali za watu binafsi,…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Benki ya NMB kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kitivo cha Biashara, imewatambua wanafunzi 10 bora katika kozi 10 waliomaliza masomo…