Dk. Mwinyi akagua ujenzi mradi wa Sports City
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametembelea mradi wa kimkakati wa Zanzibar Sports City kukagua maendeleo ya ujenzi unaoendelea kwa maandalizi ya AFCON…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametembelea mradi wa kimkakati wa Zanzibar Sports City kukagua maendeleo ya ujenzi unaoendelea kwa maandalizi ya AFCON…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema haoni shida kufanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri ili kupata watendaji sahihi watakaotekeleza majukumu yao kwa moyo mmoja.…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itatumia rasilimali zake za ndani ili kupata fedha za kutekeleza miradi iliyopangwa. Msingi wa kauli hiyo ni…
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza baraza jipya la mawaziri, likihusisha wizara 27, huku akitimiza ahadi yake ya kuunda wizara kamili ya vijana.
Kwa mujibu wa mkuu huyo wa nchi, wizara hiyo itakuwa chini ya ofisi yake na itaitwa Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana na kwamba Joel Nanauka ameteuliwa kuiongoza.
Rais Samia ametangaza baraza hilo leo, Jumatatu Novemba 17, 2025 katika mkutano wake na waandishi wa habari, uliofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Sambamba na wizara hiyo, pia amefanya marekebisho madogo na kuunda Wizara ya Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano.
“Atakayeshika nafasi hiyo atakuwa na kazi ya kufanya mazungumzo na makundi mbalimbali kuhakikisha mahusiano mazuri,” amesema.
Aidha, marekebisho mengine yameshuhudiwa katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na sasa imehamishiwa Ofisi ya Waziri Mkuu.
Hii hapa orodha ya mawaziri walioteuliwa.
(more…)Imeelezwa kuwa Jumuiya ya nchi Wanachama wa Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ni jukwaa sahihi la kupata ufumbuzi wa Kudumu wa changamoto zinazozikabili nchi wanachama kama vile ukosefu wa amani,…
Waziri Mkuu mteule, Dkt Mwigulu Nchemba amesema atahakikisha ndoto ya Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ya kutengeneza ajira milioni 8 inatimia kwa kuweka utaratibu bora. Dk Mwigulu ambaye…
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyonayo chini ya Ibara ya 66(1)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977,…
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), imempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuchaguliwa na kuapishwa kuiongoza Tanzania kwa kipindi cha pili, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.…
Rais wa China, Xi Jinping ametuma salamu za pongezi kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan baada ya kuibuka kidedea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Dkt. Samia alipata ushindi wa…
Rais wa Urusi, Vladmir Putin ametuma salamu za pongezi kwa Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan baada ya kuibuka mshindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025. Katika uchaguzi…