NMB PLC yaorodheshwa moja ya benki 40 bora Afrika
Benki ya NMB Plc imeorodheshwa miongoni mwa Benki 40 Bora Barani Afrika, ikiendelea kuwa benki Namba Moja Tanzania na benki pekee ya Tanzania katika orodha ya Benki 5 Bora Afrika…
Benki ya NMB Plc imeorodheshwa miongoni mwa Benki 40 Bora Barani Afrika, ikiendelea kuwa benki Namba Moja Tanzania na benki pekee ya Tanzania katika orodha ya Benki 5 Bora Afrika…
Kiongozi wa Kihafidhina Sanae Takaichi amechaguliwa leo kuwa waziri mkuu wa kwanza wa kike wa Japan. Amechaguliwa kwa kura 237 katika bunge lenye viti 465. Chama cha Takaichi cha Liberal…
Na Mwandishi wetu, Dubai Benki ya NMB imepokea tuzo maalum ya kuwa benki ya kwanza katika Afrika Mashariki kutoa kadi maalum iliyobuniwa kwaajili ya wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs).…
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake katika miaka mitano ijayo, inatarajia kujenga zuio la mafuriko katika eneo la Rufiji mkoani…
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amemkabidhi mjane Bi. Alice Haule hati miliki ya nyumba aliyoachiwa na marehemu mume wake huku akimchangia kiasi cha Shilingi Milioni 10…
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema katika miaka mitano ijayo, Serikali yake itaangalia uwezekano wa kuipanua Barabara ya Kilwa kutoka Kongowe hadi…
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha uvumi wa taarifa zinazozunguka kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa imechapisha na kusambaza fedha kwa ajili ya kugharamia uchaguzi mkuu. Katika taarifa kwa umma…
Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambazwa na vyombo vya habari ikiwemo kukamatwa kwa watu saba katika mazingira ya kutatanisha tukio ambalo limetajwa kuwa ni ukandamizaji pamoja na taarifa…
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetangaza kupandisha kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi kutoka Shilingi 275,060 hadi Shilingi 358,322, ikiwa ni…
Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kimemteua Seneta wa Siaya, Dkt. Oburu Odinga, kuwa kaimu kiongozi wa chama kufuatia kifo cha Waziri Mkuu wa zamani, Raila Amolo Odinga, aliyefariki dunia…