Askofu Ruwa’ichi: Kanisa Katoliki halina ugomvi na serikali
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Yuda Thadeus Ruwa’ichi, amesema Kanisa Katoliki halina ugomvi wowote na serikali na halina mpango wa kupigana nayo mieleka. Askofu Ruwa’ichi…
