Rais Samia asisitiza maslahi ya Taifa kuzingatiwa kwenye mikataba
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhakikisha inaendelea kuzingatia maslahi ya nchi kwenye mikataba mbalimbali ambayo nchi inakusudia kuingia kwakuwa Kikatiba Ofisi ya Mwanasheria Mkuu…