Utekelezaji shuguli za lishe Magu wavuka 100%
Kamati ya lishe Halmashauri ya Wilaya ya Magu leo tarehe 4 Septemba, 2025 imefanya kikao maalum cha tathmini ya utekelezaji wa afua za lishe kwa kipindi cha April hadi Juni,…
Kamati ya lishe Halmashauri ya Wilaya ya Magu leo tarehe 4 Septemba, 2025 imefanya kikao maalum cha tathmini ya utekelezaji wa afua za lishe kwa kipindi cha April hadi Juni,…
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan, amesema dhamira yake ni kujenga barabara za kiwango cha lami katika wilaya zote ili kuziunganisha na makao makuu ya…
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake inapanga kuendeleza ukarabati na upanuzi wa barabara kuu inayounganisha Tanzania na Zambia yenye urefu wa kilomita…
Na Mwandishi Wetu, Geita Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita leo Septemba 2, 2025 kimezindua kwa kishindo kampeni za kuinadi Ilani ya CCM 2025-2030 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025…
Hakamatiki, ndio msamiati sahihi unaoweza kutumika kuakisi utofauti wa kishindo cha mikutano ya kampeni za mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan, ukilinganisha na vyama vingine…
Na Mwandishi Wetu, Arusha Benki ya NMB imewahakikishia wafanyabiashara wakubwa mkoani Arusha ushirikiano wa karibu zaidi katika kukuza shughuli zao, hususan sekta ya utalii, ili kuongeza ufanisi wa kibiashara, mapato…
Na Mwandishi Wetu, Tanga Wakandarasi wote waliopewa zabuni ya kutekeleza miradi mbalimbali ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA, wametakiwa kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati na kwa ubora uliopangwa ili…
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema atakapochaguliwa kuingoza Tanzania kwa miaka mitano ijayo, Serikali yake itanunua matrekta 10,000 ili kuboresha shughuli za kilimo. Dkt…
Wakati kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu zikifikia siku ya tatu, Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema chama chake hakina…
Mgombea wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema atakapochaguliwa kuiongoza Tanzania kwa miaka mitano ijayo, atahakikisha programu ya Tutunzane inatekelezwa hadi wilayani Kilosa mkoani Morogoro.…