Megawati 30 jotoardhi kuingia kwenye gridi ifikapo 2026/2027
Na Mwandishi Wetu, Abu Dhabi - UAE Imeelezwa kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye rasilimali kubwa ya uwekezaji miradi ya jotoardhi ambapo jumla ya megawati 30 zinatarajiwa kuingizwa kwenye gridi…