Dk. Mpango apongeza ukaribu wa NMB na Serikali
Na Mwandishi Wetu, Arusha Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ameipongeza benki ya NMB kwa jinsi inavyoshirikiana na serikali katika matukio mbalimbali ya kijamii na kiuchumi nchini. Amesema kuwa kumekuwepo na…
