Dkt Samia: Viongozi msihodhi maeneo ndani ya Soko la Kariakoo
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Jiji la Dar es Salaam, wasihodhi maeneo katika Soko la Kariakoo na kuwakodishia wafanyabiashara, badala yake shughuli hiyo ifanywe na Shirika la…
