Mbunge Ludewa aipa kongole TARURA kushirikisha jamii
Na Mwandishi Wetu, Njombe Mbunge wa Ludewa (CCM), Joseph Kamonga ameupongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kutenga asilimia 30 ya fedha kwa ajili ya kuviwezesha vikundi…
Na Mwandishi Wetu, Njombe Mbunge wa Ludewa (CCM), Joseph Kamonga ameupongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kutenga asilimia 30 ya fedha kwa ajili ya kuviwezesha vikundi…
Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imezindua rasmi ugawaji wa vitambulisho vya kidijitali kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo nchini. Waziri wa Maendeleo ya Jamii,…
SERIKALI ya Japan kupitia Shirika lake la Ushirikiano wa Kimataifa (JICA), imeipatia Tanzania msaada wa Yen bilioni 4.07 sawa na Sh bilioni 68.5 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa ujenzi…
Tanzania kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatekeleza mradi wa Sh 678.6 bilioni ambao utaboresha utaratibu wa upakuaji mafuta katika Bandari ya Dar es Salaam. Ujenzi wa matanki…
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, ameutaka uongozi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kuhakikisha kinazalisha marubani wa kutosha ili kuongeza ufanisi katika matumizi ya ndege mbili za mafunzo…
Bunge la seneti nchini Kenya jana Alhamisi limepiga kura na kuidhinisha kuondolewa ofisini kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, kutokana na mashtaka matano kati ya 11 yaliyowasilishwa dhidi yake, katika hatua…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza kuchukua hatua za muda mfupi kwa maeneo ambayo hayana mtandao wa maji…
Na Mwandishi Wetu, Mwanza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema Serikali inatarajia kutumia zaidi ya Sh. bilioni 14.7, katika…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) umepongewa kwa kurejesha vizuri mazingira ya asili ya viumbe hai wa baharini, kupanda…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imefanya maboresho katika kituo chake cha kutolea Huduma kwa Wateja (Call Centre) ili kuwafikia wananchi wengi zaidi wenye…