Balozi wa Tanzania nchini Uganda aridhishwa na kazi ujenzi bomba la mafuta
BALOZI wa Tanzania nchini Uganda, Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli, amewataka waandishi wa habari wa Tanzania kuchukua jukumu la kuripoti ujenzi unaoendelea wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki…