Skip to content
info@mchukuzitv.co.tz   Biashara Complex - P.O. Box 25074, Dar es Salaam   Tel: +255 752 396 394
Mchukuzi TV
  • Home
  • About Us
  • News
  • Industry Directory
  • Events
  • Jobs & Adverts
  • Contact Us
  • Toggle website search
Home Close
Type then hit enter to search
Read more about the article Balozi Mwamweta, Mtaka wasaka soko la parachichi Ujerumani

Balozi Mwamweta, Mtaka wasaka soko la parachichi Ujerumani

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 6, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Hassani Iddi Mwamweta anaongoza ujumbe wa wakulima na wafanyabiashara kutoka Tanzania unaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Matunda na Mbogamboga ya Fruit Logistica 2026 yanayofanyika Berlin…

Continue ReadingBalozi Mwamweta, Mtaka wasaka soko la parachichi Ujerumani
Read more about the article Rais Samia ahitimisha ziara ya kimkakati Dubai

Rais Samia ahitimisha ziara ya kimkakati Dubai

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 6, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Al Maktoum (DWC) Dubai, mara baada ya kuhitimisha…

Continue ReadingRais Samia ahitimisha ziara ya kimkakati Dubai
Read more about the article Serikali kuongeza mikopo ya halmashauri hadi asilimia 15

Serikali kuongeza mikopo ya halmashauri hadi asilimia 15

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 5, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Serikali chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imepanga kuongeza mikopo ya halmashauri kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu, kutoka asilimia 10 hadi 15, utakapoanza mwaka ujao wa fedha 2026/27.…

Continue ReadingSerikali kuongeza mikopo ya halmashauri hadi asilimia 15
Read more about the article Rais Samia atoa bilioni 200/- kuwezesha vijana, wanawake

Rais Samia atoa bilioni 200/- kuwezesha vijana, wanawake

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 5, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Zile fedha kiasi cha Sh. bilioni 200 kwa ajili ya uwezeshaji biashara za vijana na wanawake sio ahadi tena, tayari Serikali chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeshazitoa na…

Continue ReadingRais Samia atoa bilioni 200/- kuwezesha vijana, wanawake
Read more about the article NMB yakabidhi vifaa vya milioni 105, shule, hospitali Manyara

NMB yakabidhi vifaa vya milioni 105, shule, hospitali Manyara

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 5, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Manyara Benki ya NMB imekabidhi vifaa mbalimbali katika shule za Msingi na Sekondari katika Mkoa wa Manyara kwa ajili ya kuboresha mazingira ya ujifunzaji wa wanafunzi na…

Continue ReadingNMB yakabidhi vifaa vya milioni 105, shule, hospitali Manyara
Read more about the article Magu yagawa vifaa saidizi kwa walimu wenye mahitaji maalumu

Magu yagawa vifaa saidizi kwa walimu wenye mahitaji maalumu

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 5, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Walimu wenye mahitaji maalumu katika Halmashauri ya wilaya ya Magu wamekabidhiwa vifaa saidizi kwa lengo la kuboresha mbinu za ufundishaji na kuongeza ufanisi wa utoaji wa elimu. Vifaa hivyo kutoka…

Continue ReadingMagu yagawa vifaa saidizi kwa walimu wenye mahitaji maalumu
Read more about the article Dkt Samia anavyoitangaza Tanzania duniani

Dkt Samia anavyoitangaza Tanzania duniani

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 4, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imepanda nafasi tisa katika orodha ya mataifa yanayotajwa kuwa vituo bora vya uwekezaji duniani, akiwahakikishia wawekezaji kuwepo kwa miundombinu bora ya kukuza biashara.…

Continue ReadingDkt Samia anavyoitangaza Tanzania duniani
Read more about the article Wananchi Mwamanga waishukuru serikali kuwapatia hatimiliki za kimila

Wananchi Mwamanga waishukuru serikali kuwapatia hatimiliki za kimila

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 4, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Wananchi wa Kijiji cha Mwamanga, Kata ya Mwamanga wilayani Magu wameishukuru serikali kwa kuwapimia maeneo yao na kuwapatia hati za hakimiliki za kimila hatua inayoelezwa kuwa itapunguza migogoro na kupandisha…

Continue ReadingWananchi Mwamanga waishukuru serikali kuwapatia hatimiliki za kimila
Read more about the article Dkt. Samia atangaza fursa za uwekezaji Tanzania mbele ya viongozi wa Dunia

Dkt. Samia atangaza fursa za uwekezaji Tanzania mbele ya viongozi wa Dunia

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 4, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa hakikisho la miundombinu bora ya uwekezaji nchini kwa wawekezaji duniani, akisema Tanzania imewekeza vema katika ujenzi wa reli, nishati, bandari na miundombinu ya uchukuzi.…

Continue ReadingDkt. Samia atangaza fursa za uwekezaji Tanzania mbele ya viongozi wa Dunia
Read more about the article TAMISA yahamasisha vijana kuchangamkia fursa za uwekezaji sekta ya madini

TAMISA yahamasisha vijana kuchangamkia fursa za uwekezaji sekta ya madini

  • Post author:Gabriel
  • Post published:February 4, 2026
  • Post category:Habari Mchanganyiko
  • Post comments:0 Comments

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Chama cha Wasambazaji wa Bidhaa na Watoa Huduma Migodini (TAMISA) kimewataka vijana na Watanzania kwa ujumla kuchangamkia fursa mbalimbali  zinazopatikana katika kufanya biashara ya…

Continue ReadingTAMISA yahamasisha vijana kuchangamkia fursa za uwekezaji sekta ya madini
  • Go to the previous page
  • 1
  • …
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • …
  • 111
  • Go to the next page

Subscribe to our Newsletter

About Us

Mchukuzi TV is an online television channel dedicated to providing comprehensive news, analysis, and information on the logistics and transportation industries in the country. Launched in 2024, Mchukuzi TV has quickly established itself as the go-to source for individuals and businesses seeking the… Read More>>>

Instagram Facebook Linkedin X-twitter
Quick Links
  • About Us
  • News
  • Events
  • Contact Us
  • Jobs & Adverts
Contact Us
  • Biashara Complex, along Mwinyijuma Road, Plot No. 5029, Kinondoni, Second floor, P.O. Box 25074, Dar es Salaam, Tanzania.
  • Mobile: +255 752 396 394
  • Email: info@mchukuzitv.co.tz
Admin Login
Copyright © 2026: Mchukuzi TV | Developed by Alban Technology
Search this website Type then hit enter to search
Close Menu