TMA yataja sababu 2 ongezeko la joto
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeeleza kuwa kumekuwa na ongezeko la joto katika baadhi ya maeneo nchini hususan yapatayo misimu miwili ya mvua kwa mwaka kwa miezi ya…
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeeleza kuwa kumekuwa na ongezeko la joto katika baadhi ya maeneo nchini hususan yapatayo misimu miwili ya mvua kwa mwaka kwa miezi ya…
Dhamira ya Serikali ya kuwasaidia wachimbaji wadogo wa madini nchini kwa kuwawezesha kupata taarifa sahihi za miamba kupitia Mitambo ya Uchorongaji (drilling rigs) ili wachimbe kwa tija imetimia baada ya…
Jumla ya taasisi 551 zimeanza matumizi ya nishati safi ya kupikia na kuachana na matumizi ya kuni na mkaa ikiwa ni katika jitihada za kuunga mkono Serikali kupunguza ukataji miti…
Na Mwandishi Wetu, New Delhi Serikali kupitia Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli Tanzania (PURA) imeendelea kuhamasisha wawekezaji mbalimbali duniani kushiriki katika Duru ya Tano ya Kunadi Vitalu…
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema kuwa uwanja wa Michezo unaotarajiwa kujengwa jijini Dodoma utagharimu shilingi Bilioni 352 ambazo ni fedha kutoka Serikali ya Jamhuri…
Na Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga Moja ya changamoto kubwa inayoikabili dunia kwa sasa na Tanzania ikiwepo ni tatizo la ajira hasa kwa vijana. Nchini Tanzania, changamoto hii imekuwa ikiongezeka kutokana…
Uwakilishi wa Benki ya NMB ukiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Bi. Ruth Zaipuna umehudhuria Mkutano wa Kamisheni ya Huduma za Kijamii ya Kikristo (CSSC) ambao imeangazia masuala ya elimu na…
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Wakala wa Taifa wa Uhifadhi wa Chakula (NFRA) umesema umejipanga vizuri kukabiliana na upungufu wa sukari hapa nchini endapo kutajitokeza upungufu wa bidhaa hiyo kwani serikali imeshatoa kibali kwa wakala kuagiza…
Na Mwandishi Wetu, New Delhi, India Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa pamoja na dunia sasa kuweka mkazo ikiwemo ya kifedha kwenye uzalishaji umeme…
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeweka mwongozo wa gharama za kuunganisha…